TANZIA Mmiliki wa kampuni ya mabasi ya Tashrif, Hamoud Said Al Habsy afariki dunia

Mkuu inategemea, ingawa kwa % kubwa upo sahihi. Miaka ya 90's alikufa Dr. Kairuki na wakati huo ana hospitali tu pale Mikocheni hata chuo hakijaanzishwa, lakini kikaanzishwa chuo, hospitali ikapanuliwa na mpaka leo inafanya vizuri sana kupitia kwa watoto. Nina mifano zaidi. Nadhani sababu ya hayo uliyoyasema kosa ni kwa matajili wengi weusi kutoandaa mazingira endapo wakitangulia mambo yaweje.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kutafuta mali ni kwa ajili ya uwepo wako baada ya kufa, kwamba wanaobaki waendeleze hizo mali, waendelee zaana na kuendeleza jina lako
 
Sasa 10% mbona chache ..inabid upige pasu kwa pasu...eeehhhh PKP hiyo...hapo hata ukifa ukaviacha inakua kiroho safi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…