kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
Mi mzima sijafa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi mzima sijafa
Sawaya ilipata ajali 1996 ikigongana na tayassar lkn hazikuzama ingawa vifo vilikuwa vingi sana.Kuna Msae ilizama mto Wami mkuu.
Mshana Jr unaikumbuka?
Kwani ukiandika kwa kiswahili utakufa?Mto Msangazi, nilikuwepo pale that day. One of our staff made great efforts to swim and she saved some lives. It was a very sad moment! One of our RAAWU chairperson perished in the drown!
kwani nikandika kwa kiingereza nitakufa? sikitaki kiswahili ingawa nakijua sanaKwani ukiandika kwa kiswahili utakufa?
Wala usijali. Yote tushafundishwa hayo. Hakuna kitu kipya ambacho utatufundisha. Uislam umetufundisha kila kitu.Apumzike kwa Amani!
Nachelea kukihusisha kifo chake na mfungo. Mfungo uzingatie umri, hali ya kiafya n.k. Waislamu wengi hupoteza maisha kipindi cha mfungo, kwani wanafanya mabadiliko ya vile mwili ulivyozoea kwa ghafla (abruptly), na pia kwa kiwango cha juu (severely). Kama kuna mushkeli ya kiafya, inakuwa ni sawa na kujiua mwenyewe.
Allah atupe mwisho mwema sote. Amin.Dah!! Namuonea gere, kafa anafanya ibada.
Nami mungu anijaalie mwisho mwema.
Amin kaka.Allah atupe mwisho mwema sote. Amin.
Zaidi ya abiria 70 walikufa, hilo bus lilibeba abiria wangapi?Bado tunaikumbuka ajali ya basi lake la "No Challenge" lililotumbukia mtoni likijaribu kuvuka daraja lililofunikwa na maji wakati wa mvua na kuua abiria karibu wote waliokuwemo (zaidi ya abiria 70 walikufa) likitoka Tanga kwenda Dar mmiliki akaona abadilishe jina la no challenge na kuyaita Tashriff.
How many people boarded the Bus?Mto Msangazi, nilikuwepo pale that day. One of our staff made great efforts to swim and she saved some lives. It was a very sad moment! One of our RAAWU chairperson perished in the drown!
66 + waliosimama!!Zaidi ya abiria 70 walikufa, hilo bus lilibeba abiria wangapi?
Almost a bus of 65 passengers was full to its capacityHow many people boarded the Bus?
Nadhani ni 92 jerrieLeo leo wanazika Hakuna Tambo za kuchinja.
Kuna watu walikanusha kuwa Mao staazi hawana Tambo kuoa na kuzikana ama mazishi. Mmoja akapinga kuwa Ni kuwa hawana hela ndio Mana. Kuna mmoja alioa alifanya kufuru alimjibu ivyo. Nadhani Basi Ni upendeleo Wala sio dini Wala baba yake na rangi ama kabila
Zaidi ya 70, unashangaa nini bongo hii +,?Zaidi ya abiria 70 walikufa, hilo bus lilibeba abiria wangapi?
InshallahAllah atupe mwisho mwema sote. Amin.
Hahahaaaa actually formula ya maisha kuhusu kipato ukipatacho ni kugawanya 70% na 30% kwa mchanganuo ufuatao: 70% ni for your daily expenses (chakula, mavazi, kodi, Nauli etc). Halafu ile 30% inaenda kwenye maeneo 3 kama ifuatavyo : 10% fanya saving ili uweze kununua gari, kwenda vacation Dubai, kununua kiwanja/ujenzi nk... 10% ya pili ni saving for your future investment ikusaidie uzeeni (kununua bonds, hisa nk) na 10% iliyobaki ni saving kwa ajili ya majanga mfano Covid, gari imepata ajali au nyumba imeungua au umevamiwa na wezi wakakomba kila kitu... Mfano kijana kama unapata million moja kwa mwezi tumia 700,000....hizi laki 3 zote ziingie kwenye savings hizo za aina 3 na ukifanikiwa ndani ya miaka 5 utakuwa na milioni 18 (ie. Milioni per each item).Ukifikiria kifo muda mwingine unajionea maisha hayana maana shenzi kabisa. Yaani unahangaika kutafuta mali halafu inafika siku unaziacha zote unakwenda kupumzika kaburini peke yako ukiwa mpweke, ndugu zako, mke na watoto wanakuacha ulale peke yako.
Ndio maana mimi kwa kila ninachotafuta kwa jasho lazima nitenge 5% mpaka 10% ya kwangu peke yangu nikale bata nipoze moyo. Iwe mshahara, posho, hela ya dili au faida ya kitu fulani hata kama nimeuza kitu.
Yaani nikifa, kila nitakachokiacha duniani ujue 10% yangu nilishafaidi peke yangu kisha wenzangu huku nyuma ndio wajue wanafanyaje.
Haiwezekani nitafute kwa jasho halafu niwaachie 100%! Haiwezekani haiwezekani.
Ilikuwa ajali mbaya sana, watu wakaanza kuyaita mabasi yake chinja chinja.Bado tunaikumbuka ajali ya basi lake la "No Challenge" lililotumbukia mtoni likijaribu kuvuka daraja lililofunikwa na maji wakati wa mvua na kuua abiria karibu wote waliokuwemo (zaidi ya abiria 70 walikufa) likitoka Tanga kwenda Dar mmiliki akaona abadilishe jina la no challenge na kuyaita Tashriff.