Mmiliki wa Mabasi ya Esther Luxury ni Joseph Ngeleuya

Kama amepata kwa haki kwa nini amiliki kwa kificho!?
 
Kirahisi hivyo ndio unajiaminisha?

Abdul Nondo aliomba kukagua daftari la mwana mpendwa wa awamu ya 5 ambayo iko kisheria kwenye kanuni za maadili ila akapigwa stop !

CCM tu viwanja vilivyojengwa kwa kodi za wananchi enzi hizo wamevibandika majina yao .

Kwenye suala la umiliki halisi Tanzania bado sana kuweka taarifa za kweli.
 
Ukitaka kufika kule top lazima ule na serikali.

Huyo Namba 3 mali zake nyingi kapewa na serikali

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Asante kwa kuumaliza utata huu na ili kuwafunga kabisa watu vilomolomo, elezea thamani ya mabasi hayo, na sources of fund za mmiliki, ili kuondoa possibility ya silent partners ambao wanatoa pesa zao bila majina yao kuonekana.

P
Akifanya hivyo, naomba nijulishwe tafadhali. Maana kuna wanasiasa nchini ni mabingwa wa kutuchezea shere.
 
Nimesoma na mtoto wake mmoja anaitwa Steven Kihaka
View attachment 2459940
Hii kampuni miaka kadhaa iliyopita ilichukuliwa na Kanisa Katoliki la Njombe! Aisee nilikuwa nawaelewa sana wale Masister waliokuwa wanasafiri na hayo mabasi.

Walikuwa wanatugawia abiria chai tamu kweli 😃 wakati tukitoka Dar, na pia Njombe muda wa asubuhi.
 
Sawa

Zamani 1990s Ubora wa mabasi ulifanya Wamiliki wajulikane faster

Mfano Lupelo ( Watson Kihaka), Kiswele (Juma Ngalema), Scandinavian (mzee Abdullah), Matema Beach (Charles Pella), Safina ( Mahenge), Fresh ya Shamba( Chawe) nk
Huyu Pella nakumbuka iringa, ila alikuwa na skendo ya ulozi, kwamba sharti ni kujisaidia kichakani
 
Shukrani kwa taarifa nzuri, ili kutuondoa Mawenge tuliyonayo tusaidie,

1. Historia ya Mmiliki wa hayo Mabasi na Namna ambavyo alipata Mtaji wa Biashara.
Utajiri ni siri ya mtu ingekuwa kitu cha wazi hata wewe ungekuwa tajiri usingekuwa lofa uliyejaa majungu kutafuta majungu kuwa wengine walipataje pesa

Utajiri usingekuwa siri Tanzania kusingekuwa na maskini hata mmoja

Hata wewe ukipata line ya pesa usimwambie yeyote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…