Mmiliki wa Mabasi ya Esther Luxury ni Joseph Ngeleuya

Ushahidi unao kuwa anamiliki kwa kificho ?maskini mkubwa na lofa wa kutupwa wewe uliyejaa pepo la umaskini wewe

Tafuta pesa ikuzoee acha kuhangaika na wenye nazo ambazo tayari zimewazoea

Wewe badala ya kujaa pesa umejaa majungu
Ushahidi unao wewe mke wake. Mimi shamba boy nitautolea wapi!?
 
Unatafuta umbeya tu ungekuwa na nia ya kuelewa kwa maelezo na vielelezo alivyotoa ungeelewa lakini kwa vile u mbeya, unachuki, roho mbaya ,na akili mbovu hata akivua nguo zote hutaelewa
 
Mafisi yanaparurana
 
zanku kuna hivi vitu viwili kwenye mitaji na biashara sijui unavifahamu?
1. Shadow funds
2. Shadow partners
 
Asante kwa kuumaliza utata huu na ili kuwafunga kabisa watu vilomolomo, elezea thamani ya mabasi hayo, na sources of fund za mmiliki, ili kuondoa possibility ya silent partners ambao wanatoa pesa zao bila majina yao kuonekana.

P
Silent partners wapo kila kona Nji hii !!
 
Silent partners wapo kila kona Nji hii !!
It's legal, hakuna ubaya wowote kwa mtu yoyote kuwa a silent partner kwenye biashara yoyote, as long as the invested funds are legit!.

Tofautisha silent partners na shadow partners, kwenye shadow, the money is I'll gotten money, you hide them by putting someone else and you became shadow.
P
 
Sawa

Zamani 1990s Ubora wa mabasi ulifanya Wamiliki wajulikane faster

Mfano Lupelo ( Watson Kihaka), Kiswele (Juma Ngalema), Scandinavian (mzee Abdullah), Matema Beach (Charles Pella), Safina ( Mahenge), Fresh ya Shamba( Chawe) nk
Unajuwa kwa nini makampuni yote hayo hayapo kwa sasa? Ukiacha Scandinavia na Matema Beach ambayo mengi yalikuwa ni mali za wana siasa wa Serikali ya MKAPA kuishia mwaka 2005, wenyewe waliyatoa. Yanayobakia ni mali za kishirikina za wafanyabiashara Wakinga.

Mali za Wakinga hazidumu, huisha mysteriously
 
Asante kwa kuumaliza utata huu na ili kuwafunga kabisa watu vilomolomo, elezea thamani ya mabasi hayo, na sources of fund za mmiliki, ili kuondoa possibility ya silent partners ambao wanatoa pesa zao bila majina yao kuonekana.

P
Wewe naona uliamua kutumia weledi kumsukumia mtaroni mleta mada huku akiamini unamsaidia🤣
 
Kaka kiingereza hapo hujakifanyia editing.
 

Hiki kiingereza hapana. Kimevunjika sana
 
Yaan wewe ndio mimi. Mwanaume mzima unafanya kazi za kuhesabu matajiri mjini kweli.
 
Mbona Vunjabei wa Simba aka Makolo anadunda tu

Hao unaowasema ni Wakinga wa zamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…