Mmiliki wa Mabasi ya Esther Luxury ni Joseph Ngeleuya

Baada ya uzushi na upotoshaji wa muda mrefu, niliamua kuingia chimbo kutafuta ukweli wa nani ni mmliki wa Mabasi hayo.

Nimekuja na facts ambazo Kila mwenye akili timamu anaweza kuzipata mwenyewe maana zinapatikana Kila mahali.

Mmiliki wa Mabasi ya Esther Luxury Buses ni Mtanzania Mwenzetu kijana Mpambanaji wa siku nyingi katika biashara ya Mabasi, anamiliki Mabasi aina mbalimbali zikiwemo basi hizi zilizokuwa zikihusishwa na Mwanasiasa mmoja hapa nchini.

Mmliki ni Ndugu Joseph Didas Ngeleuya, P.O. Box 71392, Dar es Salaam. 4463. Plot No. 746

Case Closed. Tuache kuzusha mambo.

Property By Joseph Didas Ngeleuya

View attachment 2459930View attachment 2459931View attachment 2459932View attachment 2459933
Hao wanatumikaga tu ukweli huyo mwanasiasa ndio mwenye mali
 
Kwahio mfano NEHEMIA MCHECHU ni mmiliki wa NHC kwa sababu yeye ndie DG wa NHC?
 
Baada ya uzushi na upotoshaji wa muda mrefu, niliamua kuingia chimbo kutafuta ukweli wa nani ni mmliki wa Mabasi hayo.

Nimekuja na facts ambazo Kila mwenye akili timamu anaweza kuzipata mwenyewe maana zinapatikana Kila mahali.

Mmiliki wa Mabasi ya Esther Luxury Buses ni Mtanzania Mwenzetu kijana Mpambanaji wa siku nyingi katika biashara ya Mabasi, anamiliki Mabasi aina mbalimbali zikiwemo basi hizi zilizokuwa zikihusishwa na Mwanasiasa mmoja hapa nchini.

Mmliki ni Ndugu Joseph Didas Ngeleuya, P.O. Box 71392, Dar es Salaam. 4463. Plot No. 746

Case Closed. Tuache kuzusha mambo.

Property By Joseph Didas Ngeleuya

View attachment 2459930View attachment 2459931View attachment 2459932View attachment 2459933
Hahahaha
Baada ya kuanza kubanwa Bungeni majuzi naona bungo limekuwa chungu.

Enewei, hakuna asiyeyafahamu ya Delmonte Hotel pale Posta Mpya iliyokuwepo jengo la Benjamin Mkapa Tower.

Hakuna asiyejua michezo mnayofanya kuweka puppets as wamiliki. Msidhani eti wazee wa Viatu ni wavaa miwani myeusi pekee. Mpaka wasafisha barabara wapo
 
Asante kwa kuumaliza utata huu na ili kuwafunga kabisa watu vilomolomo, elezea thamani ya mabasi hayo, na sources of fund za mmiliki, ili kuondoa possibility ya silent partners ambao wanatoa pesa zao bila majina yao kuonekana.

P
Mkuu Paskali naomba unitag akikujibu
 
Mmiliki wa nembo ya biashara ni kweli kabisa wa Ester bus.LAKINI ,LAKINI LAKINI wenye kutumia hiyo nembo ya biashara kwa makubaliano wakawa wengi wakachangia ulipagi wa mapato na uendeshaji.Fahamu kila bus lina namba za usajili hivyo kila basi lina mapato yake kutokana na uuzaji wa tiketi.Ungefanya utafiti kidogo zaidi ungefahamu haya.
 
Umaskini utakuua

Mwigulu akimiliki wewe kinakuwasha nini?

Sifa ya mtu mwenye pepo la umaskini ni kushinda akiongelea matajiri negatively

Hapahitajiki nabii kukujua kuwa wewe lofa ambaye umepigika kimaisha choka mbaya wewe

Nenda kwa Mwamposya akalikemee hilo pepo lako la umaskini likutoke
Wala usipaniki kinacho fuatiliwa hapa sio umiliki wake wa magari bali ni uhalali wa pesa anazo zitumia kumiliki hayo magari maana ndani ya mda mfupi tu mabasi yameongezeka fwaaaaaaa!

Hiyo ndio hoja iliyopo mezani , hakuna wivu hapo ni uhalali tu jambo ambalo ni haki kabisa mwananchi na mlipakodi kuuliza maana isije ikawa ni sehemu ya kodi yake inamnufaisha mtu binafsi sababu tu yupo kapuni
 
Mkuu Paskali naomba unitag akikujibu
Akijibu nita ku tag!.
Issues za sources of funds ni changamoto kubwa!.
Nilipofika Azam TV na ku estimates thamani ya uwekezaji ule, haiwezi kuwa ni faida ya biashara ya Ice cream, juice na unga wa ngano!.

Ukiangalia uwekezaji wa IPP Media, ITV Radio One, EATV, EA Radio, Capital TV, Capital Radio na Magazeti ya Guardian, Nipashe, The Observer, Leta Raha, Alasiri na Sports Starehe, sio fedha za kalamu, sabuni ya Revola na zile tissue.

Unasema ukweli Paschal

Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app
 
Akijibu nita ku tag!.
Issues za sources of funds ni changamoto kubwa!.
Nilipofika Azam TV na ku estimates thamani ya uwekezaji ule, haiwezi kuwa ni faida ya biashara ya Ice cream, juice na unga wa ngano!.

Ukiangalia uwekezaji wa IPP Media, ITV Radio One, EATV, EA Radio, Capital TV, Capital Radio na Magazeti ya Guardian, Nipashe, The Observer, Leta Raha, Alasiri na Sports Starehe, sio fedha za kalamu, sabuni ya Revola na zile tissue.
P

Utakatishaji fedha kupambana nao ni mgumu sana. Unaweza leta msuguano wa kidini.

Kuna tajiri moja anajenga sana misikiti kuliko shule. Sijasikia kama ameshawahi jenga hata chekechea.

Jirani ya yohana mbatizaji.
 
Huwezi kumpangia mtu na hela zake nini cha kufanya, tafuta zako ujenge na wewe
makanisa hakuna ataekuuliza
 
Wala usipaniki kinacho fuatiliwa hapa sio umiliki wake wa magari bali ni uhalali wa pesa anazo zitumia kumiliki hayo magari maana ndani ya mda mfupi tu mabasi yameongezeka fwaaaaaaa!

Hiyo ndio hoja iliyopo mezani , hakuna wivu hapo ni uhalali tu jambo ambalo ni haki kabisa mwananchi na mlipakodi kuuliza maana isije ikawa ni sehemu ya kodi yake inamnufaisha mtu binafsi sababu tu yupo kapuni
Nenda mahakamani kamshitaki Joseph Ngaleluya.
Over
 
Sawa

Zamani 1990s Ubora wa mabasi ulifanya Wamiliki wajulikane faster

Mfano Lupelo ( Watson Kihaka), Kiswele (Juma Ngalema), Scandinavian (mzee Abdullah), Matema Beach (Charles Pella), Safina ( Mahenge), Fresh ya Shamba( Chawe) nk
Watson Kihaka yuko wapi kwa sasa?
 
Umaskini utakuua

Mwigulu akimiliki wewe kinakuwasha nini?

Sifa ya mtu mwenye pepo la umaskini ni kushinda akiongelea matajiri negatively

Hapahitajiki nabii kukujua kuwa wewe lofa ambaye umepigika kimaisha choka mbaya wewe

Nenda kwa Mwamposya akalikemee hilo pepo lako la umaskini likutoke
Acha ujinga wako. Wote wenye akili wanahoji waovu wanaomiliki Mali za wizi Serikalini. MWIGULU ni jambazi linalovaa tai na Makoti Serikalini lilipaswa kuwa jela. Nani kakwambia kukemea uovu ni pepo na nani kakwambia Mwampisa ana Yesu? Acha ufala
 
Back
Top Bottom