TANZIA Mmiliki wa Mabasi ya Marangu Coach afariki dunia Hospitali ya Aga Khan

Duuuh na mke tena! r i p. Kuna nn tena wadau kwenye hii familia?
 
Sio mawazo finyu mkuu.
Huo ndo uhalisia wa familia zetu,
Inapaswa tujifunze kujitegemea.

Siku si nyingi utaskia ndugu wanagombea mabasi, Kila mmoja anataka achukue lake.

Mwisho wa siku, kampuni inakufa
Nasikia Jmaa ana mitoto mizuri sana ya kike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…