TANZIA Mmiliki wa Mabasi ya Marangu Coach afariki dunia Hospitali ya Aga Khan

Maisha mapya baada ya haya!! Asante boss
 
Kwani alikuwa hawezi kuhema na mbavu zilikuwa zina' mbana?
Yule mama aliyeko ICU ni mkewe? ambaye naye ana shida ya kupumua?
Watoto wake mbavu si zilisha achia?
Haya Ni maswali au Ni taarifa inatolewa??
 
Kwani alikuwa hawezi kuhema na mbavu zilikuwa zina' mbana?
Yule mama aliyeko ICU ni mkewe? ambaye naye ana shida ya kupumua?
Watoto wake mbavu si zilisha achia?
Duh...!
Paskali ooh sory Nguvu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…