TANZIA Mmiliki wa mabasi ya Sahara, Abdalah Msangi (47) afariki

TANZIA Mmiliki wa mabasi ya Sahara, Abdalah Msangi (47) afariki

Nakanusha hii habar sio ya kweri jamaa hajafia Dar wala iyo guest inayosemwa

Marehem alitoka Usangi mapema tuu kuelekea Mosh katika majukum yake ila wakat anatoka hakuwa anajihisi vzr baada ya kufika mosh hari yake haikuwa nzur ikazid kuwa mbaya zaid ikabid watu wa karibu wampeleke Hospital Mawez Mosh
Wakat wanafika hospital Ma Dr wakasema jamaa alishakufa kabla ya kufika hapo hospital

Na kwa wanaomjua uyo jamaa ni Bonge la MTU yawezekana ni Presha au matatizo ya Moyo

NB nimekanusha kama mtu wa karibu na Family

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimesikia taarifa Kama hii kwa mtu wake wa karibu ...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
IMG_0565.JPG
 
Mmiliki wa mabasi ya Sahara, Abdalah Msangi (47) na mkazi wa Usangi mkoani Kilimanjaro amekutwa amefariki dunia kwenye moja ya chumba cha wageni mtaa wa Dar es Salaam mjini Moshi.

Wakazi wa Arusha, Moshi, Same, Usangi nina uhakika mnayajua vyema mabasi haya.

Allah Ampunguzie Adhabu Ya Kaburi Inshallah.


View attachment 1313052
Dah KAKUTWA NA MADAWA YA KIENYEJI NAHISI KABOOST KYPITILIZA POLISI WANAZIFANYIA KAZI NAWAZA TU ZINAPOISHIA
 
Back
Top Bottom