TANZIA Mmiliki wa mabasi ya Sahara, Abdalah Msangi (47) afariki

TANZIA Mmiliki wa mabasi ya Sahara, Abdalah Msangi (47) afariki

Mimi sijasema ila wewe maelezo yako yanatoa picha ya moja kwa moja kuwa unamaanisha jamaa kafa kwa mpango wa shetani.
Sawa. Ndiyo maana nakwambia hayo ni maoni yako kwa ulivyoamua kutafsiri comment yangu. Kila anaweza kutafsiri anavyotaka. Na mm sikatai unaweza kuandika ulivyoelewa wewe ila itabakinkuwa hayo umesema wewe siyo mm.
 
Hayo umesema wewe mimi sijasema chochote kuhusu kifo chake. Umesema mwenyewe kumbuka.
 
Nakanusha hii habar sio ya kweri jamaa hajafia Dar wala iyo guest inayosemwa

Marehem alitoka Usangi mapema tuu kuelekea Mosh katika majukum yake ila wakat anatoka hakuwa anajihisi vzr baada ya kufika mosh hari yake haikuwa nzur ikazid kuwa mbaya zaid ikabid watu wa karibu wampeleke Hospital Mawez Mosh
Wakat wanafika hospital Ma Dr wakasema jamaa alishakufa kabla ya kufika hapo hospital

Na kwa wanaomjua uyo jamaa ni Bonge la MTU yawezekana ni Presha au matatizo ya Moyo

NB nimekanusha kama mtu wa karibu na Family

Sent using Jamii Forums mobile app
Usikurupuke hajasema kafia Dar bali kasema kafia mtaa wa Daresalaam mjini Moshi au umande unasumbua..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
RIP Mtani ila kwa mujibu wa kamanda alifia guest mtaa wa dar street alikuwa anatoka mapovu ndipo kupelekwa mawenzi hospitali alikuwa keshaaga dunia na alikuwa na mwanamke ala alikula kona na katika upekuzi ndani ya gari lake kukajutwa na vitu inavyosemekana ni madawa ya kienyeji,Cha msingi Mungu mwenyewe ndiye ajuaye sababu .Vijana wengi hadi miaka 47 tunakuwa hatuja-stabilize maisha tumuige mtani utafutaji.Hata kama alikuwa anagegeda alikuwa anagegeda faida

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Poleni sana mjomba
Nakanusha hii habar sio ya kweri jamaa hajafia Dar wala iyo guest inayosemwa

Marehem alitoka Usangi mapema tuu kuelekea Mosh katika majukum yake ila wakat anatoka hakuwa anajihisi vzr baada ya kufika mosh hari yake haikuwa nzur ikazid kuwa mbaya zaid ikabid watu wa karibu wampeleke Hospital Mawez Mosh
Wakat wanafika hospital Ma Dr wakasema jamaa alishakufa kabla ya kufika hapo hospital

Na kwa wanaomjua uyo jamaa ni Bonge la MTU yawezekana ni Presha au matatizo ya Moyo

NB nimekanusha kama mtu wa karibu na Family

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha uzwazwa mkuu,hujui halafu unajuzwa hutaki kujuzika. Stori yenyewe kama umeisikia kijiwe cha kahawa juu juu,sijui wewe mwanamke wa wapi
Umevulia chupi uume ambao siyo wako sasa jiandae kuukalia.

Mimi ni mwanamke niliyekuwa nazurura na mama yako ni shoga wa mama yako najua uchafu wake ambao hata baba yako hajui.
 
Hii ndiyo habari ya kweli huyu anyejifanya ndugu wa karibu hana lolote
Screenshot_2020-01-05-19-15-05.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom