TANZIA Mmiliki wa mabasi ya Sahara, Abdalah Msangi (47) afariki

Wewe hilo andiko ulilipata kwenye kitabu gani.
Nilihudhuria msiba mmoja....
nikiwa kanisani nilimsikia mchungaji aki quote kifungu cha bibilia nimesahau......
ya kwamba kiumbe kilichozaliwa na mwanamke siku zake zimehesabiwa tena ni chache.....
miaka 77 ni ukomo zaidi ya hapo ni mateso
 
Unaweza kuuliza mwingine aliyekuwepo hapo msibani kama ana kumbukumbu na hicho kitabu.?
 
Back
Top Bottom