TANZIA Mmiliki wa mabasi ya Sahara, Abdalah Msangi (47) afariki

MZIGOOO MPWAA ACHA KUJITOA UFAHAMU
KAFIA GUEST ..ALIKWENDA KUSALI??
Huwezi kuikomoa K. Hata siku moja. Mavumbi yanafaa uyatumie na wife, mnaanza kiduch halafu kiduchu baadae KIDUCHU. sio unapatamia jimama la kimachame limeenda juu eti unaliwekea vumbi la kongo.
 
DAH KAMA NAMWONA KINGAST ANAVYOKUJA KUKAMATA MADARAKA NA KUULIZA GARI INA WANGAPI LEO MMEJAZA

MAISHA KUPOKEZANA
 
DINI ILIO BORA
KUSAIDIA WAJANE YATIMA ....
MKILIELEWA HILI MJUE N MOJA YA SADAKA UNAFANYA KUHAKIKISHA MJANE.YUKO HAPPY
 
Abdala alikuwa mtu wa jamii sana kwa watu wa usangi na kwingineko wanaweza temba hilo, kifo hakuna umri, wala kiwango cha pesa. Alikuwa anapaki gari yake kwenye lodge akafia kwenye parking. Watu wakaona gari imepaki iko silence mtu hashuki ndo kwenda kucheki wanaona mtu ndani ya gari kama Kesha kata moto wakaita polisi wakaona jamaa afariki povu mdomoni . Inahisiwa pressure au kusubiri taarifa ya madaktari
 
Nilihudhuria msiba mmoja....
nikiwa kanisani nilimsikia mchungaji aki quote kifungu cha bibilia nimesahau......
ya kwamba kiumbe kilichozaliwa na mwanamke siku zake zimehesabiwa tena ni chache.....
miaka 77 ni ukomo zaidi ya hapo ni mateso
"Zaburi 90:10. Siku za miaka yetu ni miaka sabini, Na ikiwa tuna nguvu miaka themanini; Na kiburi chake ni taabu na ubatili, Maana chapita upesi tukatokomea ... "
 
"Zaburi 90:10. Siku za miaka yetu ni miaka sabini, Na ikiwa tuna nguvu miaka themanini; Na kiburi chake ni taabu na ubatili, Maana chapita upesi tukatokomea ... "
Asante sana kwa kifungu.....
kuna mpagani mmoja amenisumbua kweli kweli...
 
kaimu Kamanda Kanyama amethibitisha marehemu kufia nyumba ya kulala wageni akiwa na mwanamke ambaye alitoroka baada ya tukio. Na upekuzi katika gari la marehemu ulikuta dawa ya kienyeji ambayo inachunguzwa.Source Global publishers
 
FIKIRI MVUNGI ameshafanya yake.

Hatari sana yule mtu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Washindiadhe...!

Lomwe? Shighatini? Mombasa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…