Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 54,943
Ukifa kabla ya 100 yrs umeonewa?Ukiwa na umri kama wa jenerali Msuguri na kisha Mnyaazi Mungu akakutwaa watu hawatakulilia sana kwa sababu Mungu kakupendelea sana kuishi ila kwa umri wa mmiliki wa sahara kibinadamu ni umri ambao bado una nguvu za kutosha na unahitaji sana kuendelea kutimiza ndoto zako....
Sent using Jamii Forums mobile app
Shule gani wakati nimefeli.
Umesema pesa zina siri nzito inaonekana unajua machache kuhusu marehemu. Au ulikuwa unajisemea tu baada ya kukosa cha kusema.Nimfahamu ili iweje?
Kabisa Asee Natamani Kujuwa Chanzo Cha Umauti Wake
Nilikuwa Mteja Mkubwa wa Sahara Line
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo huyo kaonewa kufa kabla ya 100?
Duh!Kuanzia 2015 mpaka leo 2020,watu wanakufa too young
Hasa wafanyabiashara na wanasiasa wenye mrengo tofauti na mawe na makonda
Kwa hiyo...Kuanzia 2015 mpaka leo 2020,watu wanakufa too young
Hasa wafanyabiashara na wanasiasa wenye mrengo tofauti na mawe na makonda
Wapo majeruhi 20 wote wamelazwa Tumbi.
Usahihi wake umeupata wapi?
Mikopo
Asante sana mkuu. Ndiyo maana akili ilikataa kuamini hii habari.Nakanusha hii habar sio ya kweri jamaa hajafia Dar wala iyo guest inayosemwa
Marehem alitoka Usangi mapema tuu kuelekea Mosh katika majukum yake ila wakat anatoka hakuwa anajihisi vzr baada ya kufika mosh hari yake haikuwa nzur ikazid kuwa mbaya zaid ikabid watu wa karibu wampeleke Hospital Mawez Mosh
Wakat wanafika hospital Ma Dr wakasema jamaa alishakufa kabla ya kufika hapo hospital
Na kwa wanaomjua uyo jamaa ni Bonge la MTU yawezekana ni Presha au matatizo ya Moyo
NB nimekanusha kama mtu wa karibu na Family
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakanusha hii habar sio ya kweri jamaa hajafia Dar wala iyo guest inayosemwa

Maandiko yapi?