Mmiliki wa mabasi ya Sauli watakaokufilisi ni madereva wako

Mmiliki wa mabasi ya Sauli watakaokufilisi ni madereva wako

Suzy Elias

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2021
Posts
1,067
Reaction score
6,200
Mabasi ya Sauli yanayofanya safari zake kuelekea mikoa ya Nyanda za juu Kusini hakika yalijipambanua ni ya uhakika na salama.

Ajabu kwa siku za hivi karibuni ndiyo mabasi yanayoongoza kwa ajali za ovyo ovyo zinazosababishwa na uzembe wa madereva.

Mliopo karibu na mmiliki wa mabasi ya Sauli mwambie asipowekeza kwa madereva makini hiyo biashara yake inaenda kufa kifo kibaya kabisa.

Fikiria ndani ya miezi mitatu alishapata hasara ya basi jipya kabisa ambalo liliisha na matatu yaliyopata ajali na kuharibika kabisa.
 
Mabasi ya Sauli yanayofanya safari zake kuelekea mikoa ya Nyanda za juu Kusini hakika yalijipambanua ni ya uhakika na salama...
Hizo ajali sio za makusudi wala bahati mbaya...zina mkono usioonekana. Kuna kitu kinaitwa KUZINGATIA MASHARTI hasa kama mali zenyewe umezipata kupitia njia zetu zile.. Sauli anapotea muda si mrefu
 
Hizo ajali sio za makusudi wala bahati mbaya...zina mkono usioonekana.. Kuna kitu kinaitwa KUZINGATIA MASHARTI hasa kama mali zenyewe umezipata kupitia njia zetu zile.. Sauli anapotea muda si mrefu
Mkuu, kwako washakuja wangapi kuusaka utajiri[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hayupo mtu wa kufirisiwa sababu ya mabasi hapo. Mabasi hayo ni sehemu ndogo sana ya utajiri wa huyu njemba. Hata kama kufirisika kupo,lakini si ksbb ya mabasi kwa huyu mwamba.
 
Back
Top Bottom