Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Mabasi ya Sauli yanayofanya safari zake kuelekea mikoa ya Nyanda za juu Kusini hakika yalijipambanua ni ya uhakika na salama.
Ajabu kwa siku za hivi karibuni ndiyo mabasi yanayoongoza kwa ajali za ovyo ovyo zinazosababishwa na uzembe wa madereva.
Mliopo karibu na mmiliki wa mabasi ya Sauli mwambie asipowekeza kwa madereva makini hiyo biashara yake inaenda kufa kifo kibaya kabisa.
Fikiria ndani ya miezi mitatu alishapata hasara ya basi jipya kabisa ambalo liliisha na matatu yaliyopata ajali na kuharibika kabisa.