Mmiliki wa mabasi ya Super Sami atoweka, gari lake lachomwa moto Serengeti

Kwani hilo eneo anakopeleka mabasi yake yuko Yule tajiri wa mabasi ya Zacharia? km hiyo barabara inayo hayo mabasi mmmmmh
MBONA wengi tu wanapeleka njia ile sie yeye tu toka zamani tu.
 
Kama imekuuma chomoa!

Ndio! Awamu hii hakuna aliye salama kwasabab polisi wako bize na Mange, wanasahau majukumu yao ya kulinda raia na mali zao! Sasa mtu akifa tuseme nini kama sio "awamu hii"?

Sometimes zero brains(you say) think greater than your imaginations!
 
Mbele yake Nyuma yetu.

Ni Habari ya kusikitisha sana
 
Mauaji ya msuya yana zaidi ya miaka 4...ila awamu hii kuna mauaji mengi ya ajabuajabu mara maiti kwenye viroba,kupigwa risasi tl halafu police mpka leo hawana jibu la hayo matukio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…