Mmiliki wa Shule za Tusiime jitafakari na uwalipe wafanyakazi stahiki zao

Wala hakuhitaji hata kuhamisha yeye alitakiwa asiguse walimu angehangaika na non core function staff ambao sio walimu aongee nao the way forward politely .Lakini walimu no no no.

Walimu hawakutakiwa waguswe kabisa alitakiwa at any time awe na akiba hata ya miezi sita ya kuendelea kulipa walimu hata Kama shule itafungwa kwa corona au kwa kukosa wanafunzi ili alinde walimu wazuri wasije ondoka .Hana retention policy endelevu kwa teachers itamgharimu Sana

Ameshajenga jina anataka kubomoa .Kurudisha jina sio kazi rahisi .Ku build brand sio easy task kubomoa one day inatosha.Aachane kusumbua walimu brand builders waliomjengea tusiime Brand

Serikali huwa na akiba ya dharura ,mkulima pia ana akiba ya kiangazi ya chakula taasisi kubwa Kama Tusiime haina akiba ya kiangazi ? Very bad and hopeless financial management .Aajiri wataalamu aache ubahiri
 
Absolutely right....
Yaani inabidi walimu kuwa na akiba ya maneno..
Humo humo walimu kunakuwepo na wanafiki na wafitini...wanaopelekea wamiliki ubuyu, fulani na fulani wanasema hivi..
Walimu tukumbuke kuna maisha baada ya CORONA..
Wamiliki hawatakosa walimu..COZ walimu graduates ni wengi tu mitaani..

Everyday is Saturday..................... 😎
 
Dah haya mambo ni magumu sana kama mtu hujawahi kufanya biashara, tukumbuke ada zilitakiwa zilipwe baada ya Pasaka na kabla ya Pasaka watoto wameenda likizo ya Corona, tukumbuke pia wazazi wengi hulipa ada kwa mafungu...

Kulipa mishahara watu in 2month huku huzarishi sio kazi rahisi kama mnavyofikiria, shule nyingi hujiendesha kwa ada na michango ya wazazi, ada ya april maana yake ingelipa mishahara, matumizi na faida mpaka likizo ya July na hapo mmiliki angesubiri tena ada amalizie mpaka december... Kibiashara unawezakuta faida ya mmiliki haiwezi kulipa ada hata nusu ya hao walimu kwa mwezi na pia mkumbuke kipindi hiki hakuna bank inayotoa loans..

Something should be done by our think tanks to sustain the situation in this majority economic crisis...that's the only reality otherwise we will be just politicize the situation..
 
Shule nyingi za private ni changamoto japo changamoto hizo zinatofautiana.Kule Kigoma (Manyovu)Kuna Mchungaji anaitwa MITEKALO ni tapeli kiwango cha juu.Kila mwaka anabadilisha walimu tena kwa kuwafukuza kwa vitisho.Mwaka jana kafukuza walimu almost 6 kwa pamoja huku akimuhonga pesa Afsa Elimu wilaya ya Buhingwe ili avunge mambo yaishe ni ikawa hivyo.Hako kashule (TWING MEMORIAL)Saivi nasikia kanapumulia machine zile za ICU.
 
Huyu Mmiliki ni mshenzi sana.....kama alifanya miscalculation hiyo ni juu yake.
Hatari ninayoiona mimi ni kuwa walimu wakiamua kufanya revenge victims watakuwa watoto wetu hivyo wazazi wawe macho sana otherwise itakula kwao.
 
Huyu Mmiliki ni mshenzi sana.....kama alifanya miscalculation hiyo ni juu yake.
Hatari ninayoiona mimi ni kuwa walimu wakiamua kufanya revenge victims watakuwa watoto wetu hivyo wazazi wawe macho sana otherwise itakula kwao.
Naunga mkono hoja
Napinga walimu asiwaguse wazazi watahamisha watoto ajichunge corona yaweza ondoka na walimu na wanafunzi sio kwamba watafuata huko walimu walikoenda Bali wazazi watapeleka watoto shule stable ambazo wamiliki na walimu hawana conflict wako in good harmony

Shule zenye conflict Kati ya mumiliki na walimu hakuna mzazi ataacha mwanawe hapo Tusiime walijue Hilo.Watafute advisor haraka uzuri hata Kama mkabila wako.profffessors kibao wahaya wa elimu aombe ushauri watampa hata bure na wako wahaya wenzie kibao wenye mashule akae nao aongee nao Penye wengi haliharibiki jambo asikurupuke hasa issue ya walimu
 
No way aajiri mtaalamu wa financial management hata wa short time.Kuwa na mtaji sio kuwa unajua biashara hl.Bakhresa darasa la pili lakini anamiliki kuanzia meli,vyombo vya habari,nk wakati aliishia a,e,I,o,u sababu anatumia na kaajiri wataalamu kibao

Tusiime aachie management ya wataalamu wa fanye kazi Kama Hana aajiri upesi kipindi hiki Kama consultant wamsaidie upesi kwenye hii crisis taasisi yake isizame jalalani
 
Serikali yako iliyoandaa bakuri la kuchangia coronavirus ndo unasema ina akiba ya dharula? Kama serikali tu haina hela ya kutosha bado inalazimisha watu walipe kodi unatakaje sekta binafsi iwe na hela.
 
Serikali yako iliyoandaa bakuri la kuchangia coronavirus ndo unasema ina akiba ya dharula? Kama serikali tu haina hela ya kutosha bado inalazimisha watu walipe kodi unatakaje sekta binafsi iwe na hela.
Dharura naongelea mishahara ya wafanyakazi wake siongelei mtu kashikwa kipindu pindu serikali iwe na hela ya kumtibia kuharisha kwake mfululizo non stop!!

Tusiime siongelei hella ya dharura ya tiba ya Corona naongelea hela ya wafanyakazi core staff walimu
Umesikia serikali inachangisha ipate mishahara au posho za kulipa wabunge?
 
Hapa ni Suala la:
1. Wamiliki
2. Wazazi

Wazazi ndo wateja wakubwa, wapo wazazi wanaolipa ada kwa mwaka na wengine kwa awamu(kidogo dogo). Wazazi wengi ukiwasikiliza wanasema hawawezi kulipa ada bila masomo. Wamiliki nao wanasema hawawezi kulipa mshahara bila kazi.

Nikirudi katika andiko; niwaombe wamiliki na wazazi watambue kuwa hili ni janga. Wakubaliane biashara nusu gharama. Wamiliki wazungumze na walimu na wafanyakazi wengine wa shule kuwalipa nusu mshahara. Ubinadamu ndo kipindi chake sasa cha kuonekana.

Shule kama Tusiime nina imani haishindwi kulipa nusu mshahara hata kwa miezi 3. Mmiliki rudi mezani ukayajenge na wafanyakazi wako. Hao ndo waliokufikisha hapo.
 
Poor financial management ina maana Tusiime wanaishi hand to.mouth? Mzazi hamiliki shule Hana Cha ku share iwe profit or loss kwa Nini utake mzazi agawane na mumiliki loss? Profit wakati huwa hapewi?
 
Unauhakika PAYE na other taxes zinapelekwa kikamilifu?
Hiyo taasisi inachezea sana PAYE. Ukija idadi ya wanafunzi ndo kabisa inapunguzwa ili kupunguza mapato ya kodi.
Ni madudu kibao.
Poleni
 
Huyo mmiliki wa Tusiime mwanae si ndo alfunga bonge la harusi hapa mjini picha zikaenda kupgwa nairobi siku hyo hyo na ukumbi mlimani city mtumbuizaj alikua vanessa na aslay alf honeymoon wakaend sijui nchi gan huko?
 
Huyo mmiliki wa Tusiime mwanae si ndo alfunga bonge la harusi hapa mjini picha zikaenda kupgwa nairobi siku hyo hyo na ukumbi mlimani city mtumbuizaj alikua vanessa na aslay alf honeymoon wakaend sijui nchi gan huko?
 
Nimesikia nitwalipa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…