Nimekuiga kucheka[emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Una mimba ya mwalimu????Umasikin ni mbaya sana mungu atusaidie, unadhalilika na kukumbwa na magonjwa nyemelezi Kwa kukosa lishe bora mwisho unakuwa mwehu kama walimu
Kwa kweli uniige tyuuh dear [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nimekuiga kucheka[emoji3]
Haahaa,hahaha bahat situmii smart gin
oy bro mbona hukunichek?
Kuna pombe inaitwa Banana 🍌🍌 ukinywa tano wewe MWANAUME unaamka kesho umelewa siku nzima ni tamu sana....Si ulisema Visungura huna baya navyo.
Dini ya kiharakati wafuasi hawajiamini fully times ni kuhisi kunyanyaswa au kudharauliwaUislam ni mwema sana.
Uislam ni mwema sana, unakataza kabisa pombe.Dini ya kiharakati wafuasi hawajiamini fully times ni kuhisi kunyanyaswa au kudharauliwa
mfano habari hizi zimeingiaje humu
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Nilijua hata mimiMpwayungu hao walevi inasemekana ni walimu
Kuchinja watu na ugaidi ni wema?Uislam ni mwema sana.
Hhhahaha saaanaWatauwa Waalimu hao.
Huna akiliUna mimba ya mwalimu????
Wengine tumezaliwa kwenye nyumba za walimu na tumekulia humo humo wakitujaza maarifa waliosomea! Na leo tunamba sehemu mbali mbali dunian! Acha kabisa kudharau mwalimu! Utalaanika mbwa koko wewe!Umasikin ni mbaya sana mungu atusaidie, unadhalilika na kukumbwa na magonjwa nyemelezi Kwa kukosa lishe bora mwisho unakuwa mwehu kama walimu