Mmoja kati ya Watanzania waliokuwa hawajulikani walipo Nchini Israel, yabainika amefariki Dunia

Tufafanuliwe hili Ili kuondoa sintofahamu kubwa baina yetu

Amekufaje?
swali la kwanza liwe, AMEFIKAJE GAZA, wakati alikuwa Israel? jibu ni kwamba, magaidi ya hamas yalimteka hata baada ya kujieleza kwamba yeye ni mtanzania wala hahusiki hawakumsikiliza, na walivyoona jina ni clement kwamba ni mgalatia, wakamchinjia mbali, na kumtupa nje. wakati huo huo balozi wa palestina yupo hapahapa bongo, na serikali yetu haikuchukua hatua zozote kuongea naye ili amwambie Ismail Haniyah ambaye anaishi qatar, awambie hamas waachie vijana wetu wawili sisi hatuhusiki na ugomvi wao. ubalozi wa palestina hapa nchi una faida gani? unatusaidia nini kama hawawezi hata kutusaidia ndugu yetu aachiwe na mahamas?
 
Tufafanuliwe hili Ili kuondoa sintofahamu kubwa baina yetu

Amekufaje?
hadi mwili wake umepatikana,
uchunguzi utabainisha kilichosababisha kifo chake, mathalani ni mateso ya watekaji, kipigo cha watekaji, njaa na kiu kwenye maficho ya watekaji, maradhi na magonjwa ya kawaida au mlipuko katka maficho ya watekaji, hali ya hewa, sumu au ni katika purukushani na mistakes za uvamizi wa waokoa mateka dhidi ya watekaji n.k

Uchunguzi wa mwili utasaidia kwa kiasi kuondoa sintofahamu ya kifo cha muungwana huyu..

Rest In Peace Clemence
 
nini maana ya gaidi ?
 
Aliye kwambia amepatikana gaza ni nani?
 
Kwanza ni black
Pili SI wa dini Yao
Mashehe ubwabwa hawajawahi kuzungumza lolote kuhusu hili,
 
Aliye kwambia amepatikana gaza ni nani?
kwani wewe nani kakwambia hajapatikana Gaza? kwenye international news imeshasambaa kwamba ameokotwa Gaza akiwa amekufa. sasa wewe kama unaamini ameokotwa manzese ni wewe. na tunawashangaa kwanini mnasapoti magaidi ya hamas wakati wameuwa hadi ndugu zenu.
 
Crap!
 
Yani hakuna ubalozi wa kipumbavu kama wa Palestine. Tulipaswa kuwa na ukaribu na Israel kuliko hawa Mbuzi. Shenzi kabisa
 
Kwanza kwanini alitekwa na kushikiliwa bila kuachiwa wakati hausiki na uhamasama wa Israel na Palestina?
Kwanza kwanini atekwe? Hao Hamas ni magaidi hawafai, hao wapalestine ndiyo waliomsaidia Idi Amin kupigana na sisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…