Post M-alone
JF-Expert Member
- Aug 18, 2021
- 2,962
- 9,553
Ungekuwa una kampuni hata ya ulinzi ungeajiri mwanaume wa miaka 22 au 85 kwenye kampuni yako? ungekuwa na shamba ungeajiri kijana mwenye miaka 22 au mzee wa miaka 85? naomba unijibu, ukishindwa swali lako halina maana. Nasubiri majibu.inafikirisha sana, ulitaka afe wa miaka mingapi?
Musrael wa miaka 85 yule mze na mke wake wamefariki dunia imesimama, ni settler na mkulima mkubwa, wewe kila anayefariki unasema anategemewa na familia wakati yeye ndio tegemezi analipiwa ada ana anakula nyumbani, acha kukariri maisha.
Ningeajiri miaka 85, wana manner na nidhamu, wanapenda kiz na kujiheshimu:Ungekuwa una kampuni hata ya ulinzi ungeajiri mwanaume wa miaka 22 au 85 kwenye kampuni yako? ungekuwa na shamba ungeajiri kijana mwenye miaka 22 au mzee wa miaka 85? naomba unijibu, ukishindwa swali lako halina maana. Nasubiri majibu.
Kijana wa miaka 22 na mzee wa miaka 85 yupi ana nguvu? kazi zote hizo nilizokuambia zinahitaji nguvu, naomba unijibu kwa nini serilkalini retirement age ni 60 yrs? Hapo kuna maswali mawili naomba majibu.Ningeajiri miaka 85, wana manner na nidhamu, wanapenda kiz na kujiheshimu:
Vijana wadogo ndio wanabaka, hawana maadili, ndio wanalalamika mishahara midogo, ndono, pombe na miziko ya ovyo isiyo na maadili:
Naajiri 85 years nampa silaha, naweka cctv:
Kwenye siasa mlijaribishwa akina makonda, sabaya na wenzake walichofanya umeona:
Makamba alikuwa RC DAr hakuwa na upuuzi unaouaona sasa.
-Unapaswa ujue vijana wadogo wanaweza kuhimili hali ngumu kuliko wazee.Ningeajiri miaka 85, wana manner na nidhamu, wanapenda kiz na kujiheshimu:
Vijana wadogo ndio wanabaka, hawana maadili, ndio wanalalamika mishahara midogo, ndono, pombe na miziko ya ovyo isiyo na maadili:
Naajiri 85 years nampa silaha, naweka cctv:
Kwenye siasa mlijaribishwa akina makonda, sabaya na wenzake walichofanya umeona:
Makamba alikuwa RC DAr hakuwa na upuuzi unaouaona sasa.
Vijana mnaojiita wadogo ilikuwa kabla ya 2000, after huo mwaka hamna kitu:-Unapaswa ujue vijana wadogo wanaweza kuhimili hali ngumu kuliko wazee.
-vijana wadogo ni rahisi kufundishika kuliko wazee.
-vijana wadogo hawana majukum mengi hasa ya kifamilia kuliko wazee.
-Vijanan wadogo wanakubali mshahara mdogo kuliko wazee kwa sababu hawana majukumu mengi kuliko wazee.
-Vijana wadogo wanaweza kukuhudumia kwenye kampuni hata miaka 10 hadi 20 kwenye kampun,i tofauti na mzee wa miaka 85 kwanza hata afya inakuwa mgogoro unaweza uliza kwa nini makampuni ya bima ya afya yanatoza pesa nyingi kwa wazee kuliko vijana.
Huna point mzee.
hujajibu maswali mzee, kwa nini jeshini huingii ukiwa na miaka 85? kwa nini hau fit? shisha, bangi, sigara , pombe hazijaanza leo, ndio maana nakumbia huna point.Vijana mnaojiita wadogo ilikuwa kabla ya 2000, after huo mwaka hamna kitu:
Picha za ngono, madawa, shisha, nyie mtapewa kazi zisizohitaji akili, na zile za kijeshi tu;Na watakaopewa nafasi landa wale watoto wa wakubwa waliokulia maadili akma watoto wa Mwinyi , Makamba, Mwigulu, Watoto wa Majaji na wengineo.
Huwezi kunielewa.
Wazee wa miaka 85 ni digital immigrants, ni wahamiaji kwenye ulimwengu wa ki dijitali, sasa hivi kuna AI unafahamu?😀,dunia inabadilika,wazee wa miaka 85 wanaendeshaje gari za umeme? hata smartphone kutumia ni taabu tupu🤣🤣🤣Vijana mnaojiita wadogo ilikuwa kabla ya 2000, after huo mwaka hamna kitu:
Picha za ngono, madawa, shisha, nyie mtapewa kazi zisizohitaji akili, na zile za kijeshi tu;Na watakaopewa nafasi landa wale watoto wa wakubwa waliokulia maadili akma watoto wa Mwinyi , Makamba, Mwigulu, Watoto wa Majaji na wengineo.
Huwezi kunielewa.
Artificial Intelligency inawalwemaza vijana, nyie wa miaka hii ndio mejenga kituo jangwani katikati ya mafuriko, mmejenga barabara ya Moshono Arusha imebebewa na maji ila ya wazee wakoloni 1920 huko Moshi bado zipo tu:Wazee wa miaka 85 ni digital immigrants, ni wahamiaji kwenye ulimwengu wa ki dijitali, sasa hivi kuna AI unafahamu?😀,dunia inabadilika,wazee wa miaka 85 wanaendeshaje gari za umeme? hata smartphone kutumia ni taabu tupu🤣🤣🤣
Amina sana.Hamas waliteka mtanzania mwenzetu .
Laana ya mtanzania mwenzettu aliyekufa akiwa mikononi mwa Hamas laana yake Hamas hawataaonekana milele Palestina
Kila tutakapikuwa tunakumbuka kifo cha mtanzania mwenzettu tutakuwa pua tunakumbuka kifo rasmi cha kundi la Hamas kufutiliwa mbali kwenye eneo la Palestina Milele
Kifo chake kimehitimisha uhai pia na utawala wa kundi la Magaidi wa Hamas eneo la Gaza Palestina
Kifo chake kineligharimu pia kundi la Hamas kwa kuvurushwa milele.eneo la Palestina
Hongera Jeshi la IDF la Israel kutulipia kisasi cha mtanzania mwenzetu marehemu Mtenga aliyefia mikononi mwa Hamas wa kuwapa kipigo stahiki Hamas
Wenya lana nyie mnaopeleka ndugu zenu Israel, alienda kufanya nini kambi za majeshi huko Israel, tulisha wambia Hamasi hukuwauwa hao raiya walio kuwa kwenye musical festivals mkawa mnabisha.Hamas waliteka mtanzania mwenzetu .
Laana ya mtanzania mwenzettu aliyekufa akiwa mikononi mwa Hamas laana yake Hamas hawataaonekana milele Palestina
Kila tutakapikuwa tunakumbuka kifo cha mtanzania mwenzettu tutakuwa pua tunakumbuka kifo rasmi cha kundi la Hamas kufutiliwa mbali kwenye eneo la Palestina Milele
Kifo chake kimehitimisha uhai pia na utawala wa kundi la Magaidi wa Hamas eneo la Gaza Palestina
Kifo chake kineligharimu pia kundi la Hamas kwa kuvurushwa milele.eneo la Palestina
Hongera Jeshi la IDF la Israel kutulipia kisasi cha mtanzania mwenzetu marehemu Mtenga aliyefia mikononi mwa Hamas wa kuwapa kipigo stahiki Hamas
Uongo .Hamas alilenga raia tu kwenye makazi yaoTuliwambia Hamasi yeye target zake ni kwenye kambi za jeshi tu, sa huyo mbongo alienda fanya nini kambi za jeshi?