Post M-alone
JF-Expert Member
- Aug 18, 2021
- 2,962
- 9,553
Ungekuwa una kampuni hata ya ulinzi ungeajiri mwanaume wa miaka 22 au 85 kwenye kampuni yako? ungekuwa na shamba ungeajiri kijana mwenye miaka 22 au mzee wa miaka 85? naomba unijibu, ukishindwa swali lako halina maana. Nasubiri majibu.inafikirisha sana, ulitaka afe wa miaka mingapi?
Musrael wa miaka 85 yule mze na mke wake wamefariki dunia imesimama, ni settler na mkulima mkubwa, wewe kila anayefariki unasema anategemewa na familia wakati yeye ndio tegemezi analipiwa ada ana anakula nyumbani, acha kukariri maisha.