Mmoja kati ya Watanzania waliokuwa hawajulikani walipo Nchini Israel, yabainika amefariki Dunia

inafikirisha sana, ulitaka afe wa miaka mingapi?
Musrael wa miaka 85 yule mze na mke wake wamefariki dunia imesimama, ni settler na mkulima mkubwa, wewe kila anayefariki unasema anategemewa na familia wakati yeye ndio tegemezi analipiwa ada ana anakula nyumbani, acha kukariri maisha.
Ungekuwa una kampuni hata ya ulinzi ungeajiri mwanaume wa miaka 22 au 85 kwenye kampuni yako? ungekuwa na shamba ungeajiri kijana mwenye miaka 22 au mzee wa miaka 85? naomba unijibu, ukishindwa swali lako halina maana. Nasubiri majibu.
 
Ningeajiri miaka 85, wana manner na nidhamu, wanapenda kiz na kujiheshimu:
Vijana wadogo ndio wanabaka, hawana maadili, ndio wanalalamika mishahara midogo, ndono, pombe na miziko ya ovyo isiyo na maadili:
Naajiri 85 years nampa silaha, naweka cctv:
Kwenye siasa mlijaribishwa akina makonda, sabaya na wenzake walichofanya umeona:
Makamba alikuwa RC DAr hakuwa na upuuzi unaouaona sasa.
 
Kijana wa miaka 22 na mzee wa miaka 85 yupi ana nguvu? kazi zote hizo nilizokuambia zinahitaji nguvu, naomba unijibu kwa nini serilkalini retirement age ni 60 yrs? Hapo kuna maswali mawili naomba majibu.
 
Ningeajiri miaka 85, wana manner na nidhamu, wanapenda kiz na kujiheshimu:
Vijana wadogo ndio wanabaka, hawana maadili, ndio wanalalamika mishahara midogo, ndono, pombe na miziko ya ovyo isiyo na maadili:
Naajiri 85 years nampa silaha, naweka cctv:
Kwenye siasa mlijaribishwa akina makonda, sabaya na wenzake walichofanya umeona:
Makamba alikuwa RC DAr hakuwa na upuuzi unaouaona sasa.
-Unapaswa ujue vijana wadogo wanaweza kuhimili hali ngumu kuliko wazee.
-vijana wadogo ni rahisi kufundishika kuliko wazee.
-vijana wadogo hawana majukum mengi hasa ya kifamilia kuliko wazee.
-Vijanan wadogo wanakubali mshahara mdogo kuliko wazee kwa sababu hawana majukumu mengi kuliko wazee.
-Vijana wadogo wanaweza kukuhudumia kwenye kampuni hata miaka 10 hadi 20 kwenye kampun, tofauti na mzee wa miaka 85 kwanza hata afya inakuwa mgogoro unaweza uliza kwa nini makampuni ya bima ya afya yanatoza pesa nyingi kwa wazee kuliko vijana.

Huna point mzee.
 
-Unapaswa ujue vijana wadogo wanaweza kuhimili hali ngumu kuliko wazee.
-vijana wadogo ni rahisi kufundishika kuliko wazee.
-vijana wadogo hawana majukum mengi hasa ya kifamilia kuliko wazee.
-Vijanan wadogo wanakubali mshahara mdogo kuliko wazee kwa sababu hawana majukumu mengi kuliko wazee.
-Vijana wadogo wanaweza kukuhudumia kwenye kampuni hata miaka 10 hadi 20 kwenye kampun,i tofauti na mzee wa miaka 85 kwanza hata afya inakuwa mgogoro unaweza uliza kwa nini makampuni ya bima ya afya yanatoza pesa nyingi kwa wazee kuliko vijana.

Huna point mzee.
Vijana mnaojiita wadogo ilikuwa kabla ya 2000, after huo mwaka hamna kitu:
Picha za ngono, madawa, shisha, nyie mtapewa kazi zisizohitaji akili, na zile za kijeshi tu;Na watakaopewa nafasi landa wale watoto wa wakubwa waliokulia maadili akma watoto wa Mwinyi , Makamba, Mwigulu, Watoto wa Majaji na wengineo.

Huwezi kunielewa.
 
hujajibu maswali mzee, kwa nini jeshini huingii ukiwa na miaka 85? kwa nini hau fit? shisha, bangi, sigara , pombe hazijaanza leo, ndio maana nakumbia huna point.
 
Vijana mnaojiita wadogo ilikuwa kabla ya 2000, after huo mwaka hamna kitu:
Picha za ngono, madawa, shisha, nyie mtapewa kazi zisizohitaji akili, na zile za kijeshi tu;Na watakaopewa nafasi landa wale watoto wa wakubwa waliokulia maadili akma watoto wa Mwinyi , Makamba, Mwigulu, Watoto wa Majaji na wengineo.

Huwezi kunielewa.
Wazee wa miaka 85 ni digital immigrants, ni wahamiaji kwenye ulimwengu wa ki dijitali, sasa hivi kuna AI unafahamu?😀,dunia inabadilika,wazee wa miaka 85 wanaendeshaje gari za umeme? hata smartphone kutumia ni taabu tupu🤣🤣🤣
 
Artificial Intelligency inawalwemaza vijana, nyie wa miaka hii ndio mejenga kituo jangwani katikati ya mafuriko, mmejenga barabara ya Moshono Arusha imebebewa na maji ila ya wazee wakoloni 1920 huko Moshi bado zipo tu:
Vijana wa Sasa ndio mpo mmejazana gym kukata vitambi na kwa dokta mwaka kunenepesha uume na kkurefusha maana mnajua hamtufikishi kunako.
Vijana wa Sasa ndio
 
Hamas waliteka Mtanzania mwenzetu.

Laana ya mtanzania mwenzettu aliyekufa akiwa mikononi mwa Hamas laana yake Hamas hawataaonekana milele Palestina.

Kila tutakapikuwa tunakumbuka kifo cha mtanzania mwenzettu tutakuwa pua tunakumbuka kifo rasmi cha kundi la Hamas kufutiliwa mbali kwenye eneo la Palestina Milele.

Kifo chake kimehitimisha uhai pia na utawala wa kundi la Magaidi wa Hamas eneo la Gaza Palestina.

Kifo chake kineligharimu pia kundi la Hamas kwa kuvurushwa milele.eneo la Palestina.

Hongera Jeshi la IDF la Israel kutulipia kisasi cha mtanzania mwenzetu marehemu Mtenga aliyefia mikononi mwa Hamas wa kuwapa kipigo stahiki Hamas.
 
Hamas waliteka mtanzania mwenzetu .
Laana ya mtanzania mwenzettu aliyekufa akiwa mikononi mwa Hamas laana yake Hamas hawataaonekana milele Palestina

Kila tutakapikuwa tunakumbuka kifo cha mtanzania mwenzettu tutakuwa pua tunakumbuka kifo rasmi cha kundi la Hamas kufutiliwa mbali kwenye eneo la Palestina Milele

Kifo chake kimehitimisha uhai pia na utawala wa kundi la Magaidi wa Hamas eneo la Gaza Palestina

Kifo chake kineligharimu pia kundi la Hamas kwa kuvurushwa milele.eneo la Palestina

Hongera Jeshi la IDF la Israel kutulipia kisasi cha mtanzania mwenzetu marehemu Mtenga aliyefia mikononi mwa Hamas wa kuwapa kipigo stahiki Hamas
Amina sana.
 
Wenya lana nyie mnaopeleka ndugu zenu Israel, alienda kufanya nini kambi za majeshi huko Israel, tulisha wambia Hamasi hukuwauwa hao raiya walio kuwa kwenye musical festivals mkawa mnabisha.

Tuliwambia Hamasi yeye target zake ni kwenye kambi za jeshi tu, sa huyo mbongo alienda fanya nini kambi za jeshi?

Kuhusu, Hamasi nani kakuambia anauwezo wa kuitoa hapo Gaza si America, Europe wala Israel wana ubavu huo.

We msikilize Natanyahau tu na Biden wanaota wanadhani Hamasi wanatishika na maneno 😄
 
Tuliwambia Hamasi yeye target zake ni kwenye kambi za jeshi tu, sa huyo mbongo alienda fanya nini kambi za jeshi?
Uongo .Hamas alilenga raia tu kwenye makazi yao

Huyo mtanzania katekwa shambani alikokuwa akifanya mazoezi kwa vitendo ya kilimo na ufugaji

Hujafatilia habari yake Israel alikuwa ana miezi mitatu tu shambani

Kitendo walichonfanyia na wao wanskipata cha mtema kuni Palestina ndio kea heri ya kuonana.Huji.kusikia tena kundi.linsitwa Hamas kule tena kiee chama cha siasa au kundi la watu waitwa Hamas.

Palestina watu walikuwa wakitembea kifua mbele kuwa ohh mimi Hamas sasa hivi hakuna kifua mbele ukinong'ona Hamas tu Jeshi la IDF la Israel linaua

Jeshi ls IDF limeapa kufuta neno Hamas kwenye mdomo.wa mpalestina yeyote kwa risasi. Hakuna cha bendera ya Hamas wala kutamka Hamas
 
Back
Top Bottom