Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Abdel Fatah ?Hivi wakati Abdel Fatah akiwa Kiongozi wa Palestine,Hamas walikuwa wanamuunga mkono au hapana?
Nauliza hivi Kwa sababu Nina hakika Serikali yetu ingepitia Iran ambako tuna mahusiano mazuri wao Iran wangewatafuta Washirika wao Hammas wangeqaachia Vijana Wetu.
Yasser ArafatAbdel Fatah ?
Mwenyezi Mungu aipumzishe roho yake mahala pema peponi.Alienda Israel kutafuta elimu siyo vitani.
Hapo sawaYasser Arafat
Ndio nani huyo ?Hivi wakati Abdel Fatah akiwa Kiongozi wa Palestine,Hamas walikuwa wanamuunga mkono au hapana?
Alikua rafiki mkubwa wa Mwalimu NyerereYasser Arafat
Kumbe unajua Hamas ndio wanahusika Lakini lawama unataka apewa IsraelHivi wakati Abdel Fatah akiwa Kiongozi wa Palestine,Hamas walikuwa wanamuunga mkono au hapana?
Nauliza hivi Kwa sababu Nina hakika Serikali yetu ingepitia Iran ambako tuna mahusiano mazuri wao Iran wangewatafuta Washirika wao Hammas wangeqaachia Vijana Wetu.
Kwa vyovyote vile huyu atakua kauwawa na magaidi ya IDF kwa airstrikes nilivyofuatilia hii vita Hamas wanapigana kistaarabu sana. Jamani kama kuna muislamu humu aniambie taratibu za kusilimu . Takbiiiiriiiii
BALOZI wa Palestina nchini Tanzania, Hamdi Mansour Abuali amewashukuru Watanzania wanaoendelea kupaza sauti zao kulaani mashambulizi ya makombora yanayofanya na Taifa la Israel katika Ukanda wa Gaza eneo la Palestina.
Balozi Abuali,ametoa shukrani hizo leo Jijini Dar es Salaam mbele ya Waumini mara baada ya swala ya kuombea amani katika nchi ya Palestina .
Aidha,Balozi Abuali,amesema mashambulizi hayo yamekuwa yakitoa roho za watu wasiokuwa na hatia.
Kwa upande wake Kaimu Mkoa wa Dar es Salaam,Shekh Walid Alhad Omar,amesema uhusiano wa Tanzania na Palestina ni wa siku nyingi hivyo na kuwataka watanzania kulaani kile kinachoendelea Palestina.
Hamas iliteka Raia wa nchi nyingine tofauti na Israel Ili iweje labda?Usiwe mpumbavu,Hamas waliwashikilia Ili kuwe na mazungumzo hawakuua mtu.Aliyeua ni Israel ndio maana wameficha taarifa
Israel ilaaniwe Kwa kusababisha Kijana Wetu kupoteza maisha.
Kusema tuu amefariki bila kutoa maelezo ya amefariki vipi haitoshi.
Tuliambiwa wamechukuliwa mateka Sasa mbona hamjatueleza kifo chake kimesababishwa na nini?
Semeni oparesheni ya Kisengerema ya Israel imemuua Kijana Wetu.
Wakati wa ambush Huwa Kuna kukagua vitambulisho? Hawa raia wa Mataifa walikuwa wanajitenga hawachangamani na raia wa Israel?Hamas iliteka Raia wa nchi nyingine tofauti na Israel Ili iweje labda?