Mmoja kati ya Watanzania waliokuwa hawajulikani walipo Nchini Israel, yabainika amefariki Dunia

Hivi wakati Abdel Fatah akiwa Kiongozi wa Palestine,Hamas walikuwa wanamuunga mkono au hapana?

Nauliza hivi Kwa sababu Nina hakika Serikali yetu ingepitia Iran ambako tuna mahusiano mazuri wao Iran wangewatafuta Washirika wao Hammas wangeqaachia Vijana Wetu.
Abdel Fatah ?
 
Kumbe unajua Hamas ndio wanahusika Lakini lawama unataka apewa Israel
Hivi hizi dini zinawafanya psychopath kiasi hiki?
 
Kwa vyovyote vile huyu atakua kauwawa na magaidi ya IDF kwa airstrikes nilivyofuatilia hii vita Hamas wanapigana kistaarabu sana. Jamani kama kuna muislamu humu aniambie taratibu za kusilimu . Takbiiiiriiiii

Acha uhuni bana wewe toka nje hapo ulipo nchi yoyote. Nenda msikiti wa jirani hapo waeleze shida yako ya kua muislam. Majibu na maelezo utayapata uko
 
Balozi wa Palestine nchini Tanzania Mh. Hamdi Mansour Abuali alimwe barua mara moja na kutimuliwa kama persona non grata

Balozi wa Palestina badala ya kwenda wizara ya mambo ya nje kutafuta kuungwa mkono na Tanzania anaamua kuugawa umma wa waTanzania kwa kwenda msikitini kuomba kuungwa mkono na sehemu ya jamii inayounda Tanzania.

Video hapa chini ikionesha Mh. Balozi Hamdi Mansour Abuali akiwa anafanya shughuli zinazohatarisha usalama wq nchi kinyume na mikataba ya Vienna protocol kuhusu kazi za balozi

View: https://m.youtube.com/watch?v=auOKnvgArZ8&pp=ygUSQmFsb3ppIHdhIHBhbGVzaW5h

Waarabu wanawachukulia kwa tahadhari kubwa wapalestina, lakini sisi waswahili tuna fuata mkumbo

BALOZI wa Palestina nchini Tanzania, Hamdi Mansour Abuali amewashukuru Watanzania wanaoendelea kupaza sauti zao kulaani mashambulizi ya makombora yanayofanya na Taifa la Israel katika Ukanda wa Gaza eneo la Palestina.
Balozi Abuali,ametoa shukrani hizo leo Jijini Dar es Salaam mbele ya Waumini mara baada ya swala ya kuombea amani katika nchi ya Palestina .

Aidha,Balozi Abuali,amesema mashambulizi hayo yamekuwa yakitoa roho za watu wasiokuwa na hatia.

Kwa upande wake Kaimu Mkoa wa Dar es Salaam,Shekh Walid Alhad Omar,amesema uhusiano wa Tanzania na Palestina ni wa siku nyingi hivyo na kuwataka watanzania kulaani kile kinachoendelea Palestina.

Huyu balozi aitwe wizara ya mambo ya nje kuonywa kuacha kukosoa sera za mahusiano kimataifa za Tanzania kutoingilia upande wowote, aache kutaka kuchochea maandamano.

Balozi huyu wa Palestina hajui mipaka yake ya kidiplomasia, muda mwingi anataka kutuamrisha kufanya mambo yasiyokwenda na sera za nchi yetu kimataifa za diplomasia ya kiuchumi, watalii waje wengi kupitia Tanzania Royal Tour, wawekezaji,

Anaweza kutimuliwa kutokana na mienendo yake isiyokuwa ya cheo cha balozi . Kule Chad balozi alitimuliwa kwa kufanya kazi sizizo za kibalozi.

Gov't of Chad orders Gordon Kricke to leave country within 48 hours for 'non-respect of diplomatic customs', ministry says.
Le Monde.fr
https://www.lemonde.fr › 2023/04/10
Chad expels German ambassador, blaming 'impolite attitude'

10 Apr 2023 — The German ambassador to Chad, declared persona non grata by the government for his "impolite attitude", was
 
Serikali haiwezi kufanya lolote zaidi ya kutoa taarifa tu kwa familia

Kama serikali kupitia wizara ya mambo ya nje au ubalozi wa Palestina au hata Israel wanajali raia wao walio nje basi tuone wakihakikisha huyo Joshua Mollel anapatikana

In most cases tusubiri kusikia taarifa zingine mbaya
 
Hamas iliteka Raia wa nchi nyingine tofauti na Israel Ili iweje labda?
Wakati wa ambush Huwa Kuna kukagua vitambulisho? Hawa raia wa Mataifa walikuwa wanajitenga hawachangamani na raia wa Israel?

Mbona walisema waache mapigano Ili waachie mateka Israel ikakataa?

Kwa hiyo kuwaua mateka ndio kuwakomboa?
 
So Hamas kuvamia na kuteka na sasa wamesababisha kifo cha mdogo wetu kwako walikua sawa et
Hivi hizi dini zinawafanya wapumbavu kiasi hiki kweli?
 
Balozi wa Palestine nchini Tanzania Mh. Hamdi Mansour Abuali alimwe barua mara moja na kutimuliwa kama persona non grata

Balozi wa Palestina badala ya kwenda wizara ya mambo ya nje kutafuta kuungwa mkono na Tanzania anaamua kuugawa umma wa waTanzania kwa kwenda msikitini kuomba kuungwa mkono na sehemu ya jamii inayounda Tanzania.

Video hapa chini ikionesha Mh. Balozi Hamdi Mansour Abuali akiwa anafanya shughuli zinazohatarisha usalama wq nchi kinyume na mikataba ya Vienna protocol kuhusu kazi za balozi

View: https://m.youtube.com/watch?v=auOKnvgArZ8&pp=ygUSQmFsb3ppIHdhIHBhbGVzaW5h

Waarabu wanawachukulia kwa tahadhari kubwa wapalestina, lakini sisi waswahili tuna fuata mkumbo

BALOZI wa Palestina nchini Tanzania, Hamdi Mansour Abuali amewashukuru Watanzania wanaoendelea kupaza sauti zao kulaani mashambulizi ya makombora yanayofanya na Taifa la Israel katika Ukanda wa Gaza eneo la Palestina.
Balozi Abuali,ametoa shukrani hizo leo Jijini Dar es Salaam mbele ya Waumini mara baada ya swala ya kuombea amani katika nchi ya Palestina .

Aidha,Balozi Abuali,amesema mashambulizi hayo yamekuwa yakitoa roho za watu wasiokuwa na hatia.

Kwa upande wake Kaimu Mkoa wa Dar es Salaam,Shekh Walid Alhad Omar,amesema uhusiano wa Tanzania na Palestina ni wa siku nyingi hivyo na kuwataka watanzania kulaani kile kinachoendelea Palestina.

Huyu balozi aitwe wizara ya mambo ya nje kuonywa kuacha kukosoa sera za mahusiano kimataifa za Tanzania kutoingilia upande wowote, aache kutaka kuchochea maandamano.

Balozi huyu wa Palestina hajui mipaka yake ya kidiplomasia, muda mwingi anataka kutuamrisha kufanya mambo yasiyokwenda na sera za nchi yetu kimataifa za diplomasia ya kiuchumi, watalii waje wengi kupitia Tanzania Royal Tour, wawekezaji,

Anaweza kutimuliwa kutokana na mienendo yake isiyokuwa ya cheo cha balozi . Kule Chad balozi alitimuliwa kwa kufanya kazi sizizo za kibalozi.

Gov't of Chad orders Gordon Kricke to leave country within 48 hours for 'non-respect of diplomatic customs', ministry says.
Le Monde.fr
https://www.lemonde.fr › 2023/04/10
Chad expels German ambassador, blaming 'impolite attitude'

10 Apr 2023 — The German ambassador to Chad, declared persona non grata by the government for his "impolite attitude", was
 
Shura ya Maimamu wa Tanzania wajitokeze kutoa tamko kwa niaba ya waTanzania kulaani

1700245388455.png

Picha: Clemence Felix Mtenga kushoto huku mwanafunzi mwenzake kulia mwenye jacket jeusi Joshua Loitu Mollelbado haijajulikana hatima yake .

A young Tanzanian, who was reported missing in the ongoing Hamas-Israel war, Mr Clemence Mtenga has died, according to the Ministry of Foreign Affairs and East African Cooperation.

Toka Maktaba : shura ya maimamu kwa niaba ya watanzania ilitoka tamko :

11 November 2023

SHURA YA MAIMAMU TULITAKA KUANDAMANA KWA NIABA YA WATANZANIA WOTE

View: https://m.youtube.com/watch?v=D6RmVEIEt1g
Shura ya maimamu yafafanua kuwa waliandaa maadamano lengo lake kupaza sauti kama watanzania wote kutokana na makanisa, misikiti, hospitali, pia raia Gaza kupata dhoruba ya kijeshi .

Shura ya maimamu walaumu mabeberu kuingilia maandamano na pia watoa kauli kukamatwa kwa sheikh Ponda

Shura ya maimamu inashangaa serikali kukaa kimya kwa kutolaumu kinachoendelea Gaza na kutoa msimamo kama nchi, msemaji wa Shura ya Maimamu auliza na kushangaa alipokuwa akizungumza na waanfishi wa habari hii leo.
 
Back
Top Bottom