Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Daah inasikitisha sana kwa kweli...R.I.P mwanafunzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tulia ww gaidi uwe au usiwe mm ilo haliniusu ila tambua tu walio fanya ujinga october 7 wote wata waishwa peponi kabla ya siku zaoKwanza Mimi sio Muislamu usiwe mpumbavu.
South iliyofukuza Balozi wa Israel wanavaa kobazi?
Mwisho aliyeua kijana ni Hamas? Huyu alikuwa mateka ameuwawa na Mazayuni.
Hii imenichekesha sana, Hamas wanapigana kwa ustaarabu ili wapate faida gani na wako vitani?!nilivyofuatilia hii vita Hamas wanapigana kistaarabu sana.
Yalanike magaidi ya Hamas. Mungu wa haki na upendo, tunaomba damu ya kijana wetu asiye na hatia yoyote ikapande laana juu ya Hamas na wazao wao na washirika wao.View attachment 2816841
22 yrs old, My deepest sympathies to you and your family, kijana kabisa anaetegemewa na famiia na Taifa kwa ujumla. Clemence Felix Mtenga RIP my little brother.
Unakatwa mkuuUsiwe mpumbavu,Hamas waliwashikilia Ili kuwe na mazungumzo hawakuua mtu.Aliyeua ni Israel ndio maana wameficha taarifa
Mwandishi ni mzaha wa hali ya juu.Wizara ya Mambo ya Nje na USHIRIANO wa Afrika Mashariki.
Hao waoktoba 7 ndio wameua Kijana Wetu? Unachotetea ni kipi hasa? Wenye mtoto watakukata Shingo.tulia ww gaidi uwe au usiwe mm ilo haliniusu ila tambua tu walio fanya ujinga october 7 wote wata waishwa peponi kabla ya siku zao
Aliyeua kijana ni Hamas au Israel?Unakatwa mkuu
Samahani lakini
Shetani yupo na anaendelea kutenda kazi kupitia makundi kama Hamas. Lakini ole wake amtegemeaye, kwa sababu mwisho wake ni kupoteza uhai wa mwili na roho.Hawa magaidi wa Hamas washenzi sana.
R.I.P Clemence
God Bless [emoji1134]
Itakuwa mkuuAlafu huyo inaonekana alikuwa ajatekwa bali wenda aliuawa kwenye siku ya uvamizi wa sema maiti yake ilikuwa haijatambulika au kupatikana.
🗑️🗑️🗑️Shetani yupo na anaendelea kutenda kazi kupitia makundi kama Hamas. Lakini ole wake amtegemeaye, kwa sababu mwisho wake ni kupoteza uhai wa mwili na roho.
Sio kweli...ikumbukwe kuwa Palestina ya ukanda wa Magharibi na ukanda wa Gaza zote zipo chini ya Palestine Authority .
Ni maumivu sana sana kwa familia.Daah inasikitisha sana kwa kweli...R.I.P mwanafunzi
tulia ww kuku mtasakwa wote mlio fanya huo jinga wa 7/10 na nyote mtamalizwa kwenye huu uso wa duniaHao waoktoba 7 ndio wameua Kijana Wetu? Unachotetea ni kipi hasa? Wenye mtoto watakukata Shingo.
Hii ya kutekwa na Hamas, inaleta utata. Vipi atekwe na Hamas serikali ipate habari za kupatikana kwake Israel?Miongoni mwa mateka nchini Israel amekufa
Habari zaidi zinakuja
Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kwa masikitiko na huzuni imetangaza kifo cha Clemence Felix Mtenga, Kijana Mtanzania ambaye ni miongoni mwa Watanzania wawili ambao pamoja na raia wa Mataifa mengine walikuwa hawajulikani walipo tangu yaliyopotokea mapigano October 07, 2023 nchini Israel na katika maeneo ya Wapalestina hususani Gaza.
Taarifa iliyotolewa na Wizara haijasema chanzo cha kifo chake na Mji ambao amefia lakini imesema Clemence alikuwa ni miongoni mwa Vijana wa Kitanzania wapatao 260 waliokwenda nchini Israel kushiriki mafunzo ya kilimo cha kisasa kwa vitendo chini ya Mpango wa Ushirikiano kati ya Serikali ya Tanzania na Israel.
Tayari Wizara imechukua hatua stahiki ikiwemo kuijulisha Familia na inaendelea kuwasiliana na Serikali ya Israel kuhakikisha kwamba taratibu za kurejesha mwili wa marehemu nchini kwa ajili ya mazishi zinakamilika kwa wakati.
Wizara imesema inaendelea kufuatilia taarifa za Mtanzania mwingine Joshua Mollel ambaye bado hajulikani alipo tangu yalipotokea mashambulizi hayo “Wizara inatoa pole kwa Familia, Ndugu, Jamaa na Marafiki pamoja na Watanzania kwa ujumla kwa msiba huu” #MillardAyoUPDATES
We fala nini,Kwa hiyo kusakwa ndio huku mnakoua mateka.na watu Wetu?tulia ww kuku mtasakwa wote mlio fanya huo jinga wa 7/10 na nyote mtamalizwa kwenye huu uso wa dunia