ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Aliyemuua ni Hamas au Israeli?Acha ujinga wewe!
Israel ndo walimteka na kutokomea naye?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aliyemuua ni Hamas au Israeli?Acha ujinga wewe!
Israel ndo walimteka na kutokomea naye?!
Endelea kujivunia hali yakp ya ushetani.Habari zimetoka Ghaza au Israel?
Huyo kauliwa na wajomba zake "Mungu" wenu.
Kazi ya wajomba wa Mungu haina makosa.
Shetani tunaishi naye siku zote. Uhalisia wa shetani unaonekana kupitia makundi ya kishetani kama Hamas.Hamas ni Majini si watu wale.... Ni wanyama na zaidi ya wanyama. Wamemuua kijana wetu aliyeenda kupata Elimu ya kilimo.
Inasikitisha Sana, kijana bado mdogoREST IN PEACE
Akili huna.Wakati wa ambush Huwa Kuna kukagua vitambulisho? Hawa raia wa Mataifa walikuwa wanajitenga hawachangamani na raia wa Israel?
Mbona walisema waache mapigano Ili waachie mateka Israel ikakataa?
Kwa hiyo kuwaua mateka ndio kuwakomboa?
Tunaweza kubadilisha hata bila kwenda GazaTumepoteza wakulima kipindi hiki ambacho nchi inahitaji vijana wanaojitoa kubadilisha ardhi yetu kuwa utajiri.
Pole kwa familia na wote tulioguswa.
Israel ilaaniwe Kwa kusababisha Kijana Wetu kupoteza maisha.
Hamas waluwateka ili iweje ? Wangewaacha mitaani waendelee na maishs yaoKwani ndio waliomuua ?
Kusema tuu amefariki bila kutoa maelezo ya amefariki vipi haitoshi.
Tuliambiwa wamechukuliwa mateka Sasa mbona hamjatueleza kifo chake kimesababishwa na nini?
Semeni oparesheni ya Kisengerema ya Israel imemuua Kijana Wetu.