Mmoja kati ya Watanzania waliokuwa hawajulikani walipo Nchini Israel, yabainika amefariki Dunia

Kwanza Mimi sio Muislamu usiwe mpumbavu.

South iliyofukuza Balozi wa Israel wanavaa kobazi?

Mwisho aliyeua kijana ni Hamas? Huyu alikuwa mateka ameuwawa na Mazayuni.
tulia ww gaidi uwe au usiwe mm ilo haliniusu ila tambua tu walio fanya ujinga october 7 wote wata waishwa peponi kabla ya siku zao
 
View attachment 2816841
22 yrs old, My deepest sympathies to you and your family, kijana kabisa anaetegemewa na famiia na Taifa kwa ujumla. Clemence Felix Mtenga RIP my little brother.
Yalanike magaidi ya Hamas. Mungu wa haki na upendo, tunaomba damu ya kijana wetu asiye na hatia yoyote ikapande laana juu ya Hamas na wazao wao na washirika wao.

Wazazi na jamaa wote wa kijana Clemence, Mungu wetu akawajalieni moyo wa ujasiri kuupokea msiba huo uliosababishwa na hawa ibilisi Hamas. Lakini jueni kuwa Mungu atawalipieni uovu huu uliotendwa kwa kijana wetu Clemencr.

Tunaomba Roho ya Clemence ipate pumziko jema la milele. Kristo wetu aliyapata mauti kabla yetu, lakini akayashinda mauti, na kwa sababu ya ushindi wa Kristo, japo ni wenye huzuni, lakini tuna tumaini katika yeye.
 
tulia ww gaidi uwe au usiwe mm ilo haliniusu ila tambua tu walio fanya ujinga october 7 wote wata waishwa peponi kabla ya siku zao
Hao waoktoba 7 ndio wameua Kijana Wetu? Unachotetea ni kipi hasa? Wenye mtoto watakukata Shingo.
 
Hawa magaidi wa Hamas washenzi sana.

R.I.P Clemence

God Bless [emoji1134]
Shetani yupo na anaendelea kutenda kazi kupitia makundi kama Hamas. Lakini ole wake amtegemeaye, kwa sababu mwisho wake ni kupoteza uhai wa mwili na roho.
 
ikumbukwe kuwa Palestina ya ukanda wa Magharibi na ukanda wa Gaza zote zipo chini ya Palestine Authority .
Sio kweli...

PA inadhibiti sehemu ya west bank (yapo baadhi ya maeneo yanakaliwa na Israel).

Hamas inadhibiti Gaza.
 
Hii ya kutekwa na Hamas, inaleta utata. Vipi atekwe na Hamas serikali ipate habari za kupatikana kwake Israel?


Hapa tusicheze na maneno, unaotakiwa noi ukweli.

Labda ni mapoyoyo tu wasioelewa :hannibal directives" za mazayuni.

Wasioelewa ni nini hicho, hiyo maana yake mazayuni wapo tayari kuuwa ndugu zao hata 100 wakishikwa na mpalestina mmoja mradi wasikae mateka.

Hiyo ni amri ya kila mwanajeshi wa mazayuni, annambiwa ajiuwe kuliko kushikwa na wapalestina, na wakishoikwa wenzao basi wawauwe lakini wasikubali washikwe.

Hayo yalitumika siku waliyovaliwamiwa, ushahidi huu hapa:


View: https://youtu.be/d0gECjlpXF8?si=8ztt32LXl981F6pO
 
Huyo mtu mweusi kauliwa na wayahudi wenyewe toka siku ya kwanza, huyo walimfikiria Mpalestina wakamuuwa kwa makusudi kabisa au kwa mbinu yao ya "Hannibal directives".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…