Mmoja wa magaidi kutokea Uturuki aeleza jinsi walifuata mahubiri ya Fariduni Shamsidin kwenda kuua Warusi

Hapa duniani wewe unaweza ukawa mjinga wa mwisho, ukienda hata page za sky news hao wazungu wenyewe hawaamini huo uongo wa marekani na wenzake kuhusu sijui isis ila wewe mtu mweusi hutakibkutumia akili yako unaamini kila unacholetewa , kiufupi huna akili
 
Mwanzilishi wa ugaidi huu ni USA Trump kasema muanzilishi wa ISIS ni obama.ugaidi has nothing to do with islamic religion you fool.

Nyie mnaosema ugaidi huu ni wa kiislamu muanzilishi wa ISIS ni Obama( souce Trump).anayesema kuwa muanzilishi wa ugaidi ni waislamu ni mjinga.

Wajinga watakataa kuwa Marekani sio muanzilishi wa ISIS.muanzilishi wa ISIS ni Obama.

Muanzilishi wa ISIS ni obama.It has nothing to do with islamic religion.
In 2004 Abu Musab al-Zarqawi
 
Utaleta fujo za kidini Tanzania? Au unaongea ujinga humu?. Serikali hipi itakuchekea na ushaambiwa haina dini?. Unatolea mfano Tanzania? Kutemewa mate?. Mnakumbuka mlipoanza kuvunja mabucha ya nguruwe ilikuwaje. Alafu unajifanya hapa nani katemewa hata mate?. Kwahiyo na mlivyokua mnavunja mabucha ya nguruwe miaka Ile mlitumwa na marekani na wayahudi. Hata Kama una fuvu bovu ficha upumbavu
 
Umemtetea Mwislamu mwenzio na kumsingizia Myahudi???

Je, Myahudi amewahi kukupiga hata kofi hapo kwako?
Asijitetee kuwa hapa hawajatemea mate watu. Hawafanyi sababu serikali Haina dini na ukileta unapewa tu nzima na Upumbavu wako. Kumbuka walipovunja mabucha ya nguruwe anajisafisha na nini?. Hao serikali iegemee tu kwao kinaumana kesho tu. Muulize wakati wanavunja mabucha ya nguruwe walitumwa na USA na wayahudi?
 
Na mnaziamini hizi habari na hizo picha ??? Warusi watakuwa wapumbavu sana kuziwacha hizi habari open lakini ndio wengine mnakula kila mnachotupiwa mdomoni
Wamezichia na hiyo mibwege inakiri, inaimba tu kama mitahira. Urusi siyo Marekani. Putin alishasema yeye jukumu lake ni kuwawaisha tu Jehanamu kwenda pata mabikra 60.
 
ukwel wa kuwatunza misikitini ? ukwel wa kuwasaidia kupata wapiganaji misikitini ? ukwel wa kuwatetea pindi serikali zikiwashika ?

WAISLAM WOTE NI MAGAIDI NA HIZO NDO NJIA ZA KUJIFICHA NYUMA YA USA
Hilo ni kosa kuingiza uislam wote
Mambo yanayoendelea duniani tunayajua na kuyasikia
Sikubaliani na haya kwani kuna vijana wanakuwa brainwashed na kupelekwa kuuwa na hao ambao wanaojifanya waislam
Yanatokea Ulaya watoto wakichukuliwq na kwenda kufia hata Somalia kwa kujilipua
Sasa hao wanaowatuma wana uislam gani hapo
Chuki mbaya sana Kama ukishajiaminisha au kuaminishwq kanisani kuwa waislam ni wabaya rejea waziri wenu wa ardhi zamani
 
Mnataka kulisha watu uchafu
• Kwa hicho kipande tu, nilicho quote hapo, Tayari una udini ndani yake..

• Sisi waafrika tutabaki kuwa wapumbavu milele na milele, kama tutaendelea kusikiliza dini za waarabu na Wazungu.
 
Una hakika gani kama wote anaowatumia ni waislamu ??
 
boko haram , alshabab , Is central africa , Adf , Janjaweed , Seleka , IS north africa wote hawa mnawatunza misikitin na hakuna kiongoz wenu amewai wakana hadharani

sisi yule muhuni wa kuitwa Kony karibu kila kanisa limewai mkana hadharani

Ulitaka tuje kanisani kwako tuwakane ?+ hebu niambie kanisa lako ni lipi nitakuja kuwakana
 
mnawatunza misikitini , mnawatetea kwa mauaji yao , mnawasaidia kupata wapiganaji huko misikitini , wakishikwa mna andamana

HALAF LEO MNASEMA WANASAIDIWA NA WAYAUDI NA WAMAREKANI

MSIDHANI SISI WAJINGA KABISA
Hata sisi tunaoamini kuuwa ni dhambi hatuwezi kutetea hao wauwaji
Siku moja ukweli utatokea hata kama sio leo
Hizi mbinu zitajulikana hata watu wajitoe ufahamu

Hao waliokamatwa tuone kama watawataja waliowatuma zaidi ya kusema waliongea kwa simu
Unakubalije mission kwa simu na unaahidiwa hela
Unaona kuna kifo mbele?
Walio nyuma ya vurugu hizi wanajulikana ili kuharibu image yetu lakini hawafanikiwi
 
Wamezichia na hiyo mibwege inakiri, inaimba tu kama mitahira. Urusi siyo Marekani. Putin alishasema yeye jukumu lake ni kuwawaisha tu Jehanamu kwenda pata mabikra 60.

Mrusi ameanza kuichapa Ukraina kila kona anawawaisha huko unakokupigania waende
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…