Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Hata Ulaya huo uchafu unatengwa na nyama zingine hawathubutu kuweka na mbuzi• Kwa hicho kipande tu, nilicho quote hapo, Tayari una udini ndani yake..
• Sisi waafrika tutabaki kuwa wapumbavu milele na milele, kama tutaendelea kusikiliza dini za waarabu na Wazungu.
Hata wao wanajua hilo sio upumbavu wala nini