Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Alisema shithole• Upumbavu siyo tusi mkuu,
• Siwezi kutumia Google kufanya maamuzi, mimi siyo kilaza.
• Na hakuna binadamu asiye na kasoro( uzizi, ulevi, uchawi/kumiliki majini, ugaidi, Uongo, kukashfu chakula anachokula binadamu mwenzio), kama utakuwa na moja wapo kati ya hayo niliyotaja(na najua kabisa hakuna binadamu atakaye kwepa kumiliki moja wapo ya hayo niliyotaja)..... Bas utakuwa wewe huna sifa ya kumuabudu sijui Mungu.. Labda tu utabaki kuwa mnafiki kwenye masuala ya dini.
Trump alisema "AFRICA IS HOLESHIT," kwa sababu tunaiga vitu ambavyo havituhusu.
Kuiga ni nini?
Dini zipo kila mahali na Imani
Kama unaamini kitu haijalishi umejifunza wapi au unamfuata nani
Wapo waliohama dhehebu na kuona huko ni tofauti na hayo ni maamuzi yako
Kuna jamaa Romanian ameniambia haamini dini yoyote ile ingawa wazazi wake ni wakristo ila yeye kaamua kuishi hivyo tu bila kuamini chochote zaidi ya kufanya kazi kula na kusubiri mwisho wa maisha yake
Anasema baada ya kifo basi
Hayo ni maamuzi yake na hata wewe ungejisemea wewe unaamini nini badala ya kukosoa anachoamini mwingine kwani mwisho wa siku hupati chochote kile
Live your life ✨️ 🙌
Naona tuachane na huu mjadala tukaangalie mengine
Uwe na siku njema