Mmoja wa magaidi kutokea Uturuki aeleza jinsi walifuata mahubiri ya Fariduni Shamsidin kwenda kuua Warusi

Mmoja wa magaidi kutokea Uturuki aeleza jinsi walifuata mahubiri ya Fariduni Shamsidin kwenda kuua Warusi

• Upumbavu siyo tusi mkuu,

• Siwezi kutumia Google kufanya maamuzi, mimi siyo kilaza.

• Na hakuna binadamu asiye na kasoro( uzizi, ulevi, uchawi/kumiliki majini, ugaidi, Uongo, kukashfu chakula anachokula binadamu mwenzio), kama utakuwa na moja wapo kati ya hayo niliyotaja(na najua kabisa hakuna binadamu atakaye kwepa kumiliki moja wapo ya hayo niliyotaja)..... Bas utakuwa wewe huna sifa ya kumuabudu sijui Mungu.. Labda tu utabaki kuwa mnafiki kwenye masuala ya dini.
Trump alisema "AFRICA IS HOLESHIT," kwa sababu tunaiga vitu ambavyo havituhusu.
Alisema shithole
Kuiga ni nini?
Dini zipo kila mahali na Imani
Kama unaamini kitu haijalishi umejifunza wapi au unamfuata nani
Wapo waliohama dhehebu na kuona huko ni tofauti na hayo ni maamuzi yako
Kuna jamaa Romanian ameniambia haamini dini yoyote ile ingawa wazazi wake ni wakristo ila yeye kaamua kuishi hivyo tu bila kuamini chochote zaidi ya kufanya kazi kula na kusubiri mwisho wa maisha yake

Anasema baada ya kifo basi
Hayo ni maamuzi yake na hata wewe ungejisemea wewe unaamini nini badala ya kukosoa anachoamini mwingine kwani mwisho wa siku hupati chochote kile
Live your life ✨️ 🙌
Naona tuachane na huu mjadala tukaangalie mengine
Uwe na siku njema
 
• Iman hutakiwi kujifunza, Imani inatakiwa ishuke kutoka juu kwa muumba kama kweli yupo, Tangu lini Mungu yupo kwenye makaratasi...

• Kwa kumalizia, huyo jamaa yupo sahihi kabisa...

• Hata mimi pia siwezi kuabudu makaratasi yaliyo kuja kwa njia ya MITUMBWI.

🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝
 
Elimu elimu elimu hilo la kwanza, kisha inakuja kuishinda nafsi.
Gaidi wa kiislam lazima ahusike kwenye hayo mawili,
1. Aidha awe hana elimu nzuri anakuwa brainwashed, anapewa aya za kupigana na hadithi pasina maelezo ya kina, nae kwa kuwa dini anaichukulia kwa mihemko, anaumuka kama katiwa hamira.

2. Kuishinda nafsi, yaani anakuwa na elimu anajua hiki ni kibaya ama ni haramu, lakini kwakuwa anahitaji kitu fulani hajali, anachotenda.
Hii sio kwa magaidi tu hata sisi waislamu wa kawaida, zinaa mbaya myu anajua lakini anafanya, anapiga ulabu akijua haifai, mtu mshirikina, sheikh anapiga ramli hali ya kuwa anajua ni haram, mtu haendi msikitini hali anajua umuhimu wa ibada ya swala, mtu anadhulumu yatima akijua ni moja ya madhambi makubwa, mtu ni mnafiki akijua uzito wa unafiki, mtu msengenyaji na anajua ubaya wake. n.k

Niliwahi kumsikiliza saana sheikh rogo nikakiri mwenyewe kama nisingekuwa na elimu kidogo, akili y utambuzi kuchambua hiki sawa hiki si sawa basi nilikiri huyu aboud rogo anaweza mbadili mtu akili vizuri tu na akafanya jambo la hovyo kabisa.
Na yule mwingine marehemu sheikh ilunga. Ukisikiliza mahubiri yake YouTube unaweza kuvaa bomu ujilipue
Chuki tupu
 
Na yule mwingine marehemu sheikh ilunga. Ukisikiliza mahubiri yake YouTube unaweza kuvaa bomu ujilipue
Chuki tupu

Kuliko yule aliyehubiri ndani ya biblia

1711281262121.jpeg
 
Nchi yeyote kukisha kuwa na waislam hata 5% ya watu katika nchi hiyo fujo lazima .... shida ya Uislam hautak kabisa dini zingine pia Uislam hutak kila kitu kufuata dini yaani hadi serikali iwe ya dini yao

Mfano ulaya wanataka wao wageni wahamiaji ndo sheria zao zifuatwe za kiislam pia wakati wao wakimbizi.......at the end....

Hapa tanzania ni swala la muda ipo siku tutazika mamia ya watu
 
Elimu elimu elimu hilo la kwanza, kisha inakuja kuishinda nafsi.
Gaidi wa kiislam lazima ahusike kwenye hayo mawili,
1. Aidha awe hana elimu nzuri anakuwa brainwashed, anapewa aya za kupigana na hadithi pasina maelezo ya kina, nae kwa kuwa dini anaichukulia kwa mihemko, anaumuka kama katiwa hamira.

2. Kuishinda nafsi, yaani anakuwa na elimu anajua hiki ni kibaya ama ni haramu, lakini kwakuwa anahitaji kitu fulani hajali, anachotenda.
Hii sio kwa magaidi tu hata sisi waislamu wa kawaida, zinaa mbaya myu anajua lakini anafanya, anapiga ulabu akijua haifai, mtu mshirikina, sheikh anapiga ramli hali ya kuwa anajua ni haram, mtu haendi msikitini hali anajua umuhimu wa ibada ya swala, mtu anadhulumu yatima akijua ni moja ya madhambi makubwa, mtu ni mnafiki akijua uzito wa unafiki, mtu msengenyaji na anajua ubaya wake. n.k

Niliwahi kumsikiliza saana sheikh rogo nikakiri mwenyewe kama nisingekuwa na elimu kidogo, akili y utambuzi kuchambua hiki sawa hiki si sawa basi nilikiri huyu aboud rogo anaweza mbadili mtu akili vizuri tu na akafanya jambo la hovyo kabisa.
Ila inasikitisha sana. Lengo linakua ni nini haswa mpaka kupandikiziana chuki kiasi hicho.
 
Hujasikia waislamu wenzio walivyochoma moto mamia ya makanisa Tanzania bara na Zanzibar?
Mamia ya makanisa?
Kweli kama wewe ndio muandika historia ya Tanzania basi utapotosha wengi sana
Unajua mamia maana yake au mradi uchangie tu
 
Na mnaziamini hizi habari na hizo picha ??? Warusi watakuwa wapumbavu sana kuziwacha hizi habari open lakini ndio wengine mnakula kila mnachotupiwa mdomoni
Nadhani upo sahihi mkuu, kwani ni mapema mno na washambuliaji wote (kama ni kweli) hawajakamatwa. Inawezekana ni Fake News au kama ni Mrusi amezitoa, basi itakuwa ni mojawapo ya Propaganda zake kuonesha yy ni ngangari zaidi.
 
Kuna watu
Ila inasikitisha sana. Lengo linakua ni nini haswa mpaka kupandikiziana chuki kiasi hicho.
Kuna watu hawataki tu dunia iwe sehemu salama.
Kama ingewezekana uislam ukapotea, basi lingeibuka jambo.
 
N
Na yule mwingine marehemu sheikh ilunga. Ukisikiliza mahubiri yake YouTube unaweza kuvaa bomu ujilipue
Chuki tupu
Ndio maana tukaambiwa tusome,
Fid q ana kamsemo kake changanya akili za kuelezwa na za kwako, kisha ukweli uwe mchungu kumeza na mtamu kutema.

Ukiwa na uelewa, ukasikiliza mawaidha yao, basi utaona kipi anaongea ni sahihi kipi ni fix, hao masheikh wote ninawasikiliza sana, kuna vitu navipata kwenye mawaidha yao, kuna sehemu wako sahihi kuna sehemu wanapotoka, kuna elimu naipata ambayo sikuwa nimeioata hapo kabla na mengineyo mengi.
 
Tumia akili waislamu hawawezi kuanzisha kitu kitakachoharibu sifa ya dini yao.kila mtu mwenye akili anajua muanzilishi wa hivi vikundi ni CIA na Mossad chini ya kina Obama.

Tumia ubongo wacha kuwa mpumbavu, ugaidi ulianzishwa na Mohammed alipokuwa anachinja Wayahudi, kumbuka aliwahi hata kudinya katoto ka miaka tisa.
 
Wenye Akili chakavu wanasema America ndiye amewatuma
Haya wewe mwenye akili mpya asokua chakavu unajua nn zaidi ya kula kila unacholishwa.Tunawajua Wakristu hawawapendi Waislam na sio tu kwamba hawawapendi wana chuki haswaaa na Waislam.Sijui kwaninin!!!Halafu kila anachoambiwa na Padri,Mchungaji au Muinjilist wake kwake ni sheria.Hao ndio wenye akili mpya zisizo chakavu.Kweli watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.
 
Tumia ubongo wacha kuwa mpumbavu, ugaidi ulianzishwa na Mohammed alipokuwa anachinja Wayahudi, kumbuka aliwahi hata kudinya katoto ka miaka tisa.
Tumia ubongo acha kua mpumbavu tupe ushahidi wa haya uliyoyaandika.Acha kufikirishwa na chuki zako kwa Binadamu anayeheshimika na Binadamu zaidi ya billion moja kote dunian.
NI KWANINI NYIE WAKRISTU MUNAMCHUKIA MTUKUFU MTUME MUHAMMAD(Rehma na Amani ziwe juu yake na kizazi chake kitoharifu) kwa kiwangi hiki????
Mbona sisi Waislam hatumchukii Yesu(amani iwe juu yake) wala hatuthubutu kumtukana kama nyie mnaojifanya wafuasi wake munavyomtukana na kumvunjia heshima Mtukufu Mtume(amani iwe juu yake na kizazi chake kitoharifu)???
Halafu munajiita Wasomi mumesoma?Kusoma ndiyo kutukana tena watu watukufu?
Eeh Mwenyezi Mungu wajaalie Wakristu wote ufahamu na elimu ili waitambue Haqi.
 
This is a lie Moscow is so embarrassed that they were caught unaware and too proud to act on intelligence from the US. The people in this photos are innocent immigrants. Putin is doing this to save face. The real terrorists slipped away the same way they slipped in.
 
Back
Top Bottom