Mmoja wa Mawakili wa Erick Kabendera aeleza kinachoendelea

Mabwege wengi huku Africa wanawazaga namna hii ndio maana watawala wanawatumia wawezavyo
 
Imeshathibitishwa kuwa aliandika au ni tuhuma tu? Kwanini hawalishitaki gazeti? Kwanini walianza na uraia wake?
 
Kwa hiyo wewe umekwishakuwa mahakama na kutoa hukumu?

Huoni ubaya wowote kwa polisi kukiuka taratibu zinazotakiwa kufuatwa katika kulinda haki za washukiwa?
 
Kwenye utawala huu haki za kibinadamu na sheria zinaheshimiwa pale tu ambapo yule anaemuunga mkono kwa kila jambo anapokuwa ndiye mtuhumiwa wa kufanya kosa.

Akituhumiwa mtu wa mtazamo tofauti na wake, kila mtu aliyeupande wake anakuwa kambale kwa kutaka aonekane kuwa yeye ndiye anayempigania zaidi kuliko wenzake wote.

Musiba anakuwa kambale, polisi nao wanajigeuza makambale, bungeni nako kwa Ndugai, Ndugai naye anajigeuza kambale hawasikii la mtu, hawafuati utaratibu, hawatii sheria, mambo ni vuruvuru ili bwana mkubwa awaone.
 
Kipi kimeifanya serikari kuwa gumzo la kimataifa kati ya nakala za Economists au kushikwa kwa mwandishi.

Ata watu waliokuwa hawajui economists imeandika nini kuhusu Tanzania sasa ndio watatafuta hizo nakala kuzisoma na kushikwa kwa mwandishi wao ndio evidence za hoja zenyewe.

Ni kutengeneza matatizo yasiyo na lazima na kuharibu brand Tanzania kama sehemu ya amani na utulivu.

People ought to think before they act
 
Uko kufa peke yako,mimi sipo tayari kufa kwa ajili ya huyo uchwara!
 
Akili hiyo waiapate wapi?
 
 
Muangalieni Mpiga Makofi huyu! Aandike kwa kujificha ficha kwani suala la Erick Kabendera kuandikia The Economist ilikuwa siri?!
 
Kuna watu hapa TZ na Afrika hushukuru sana wakisikia Mzungu akitukana mataifa yao. Na, Ukiona hivyo, ni ishara na watu ambao evolution haikuwasaidia. Baadhi ni viongozi! Hapa kwetu niliona CHADEMA wakielekea umoja wa EU kushtaki serikali.
Toooo low!
Na wewe unaeipigia makofi kila aina ya udhalimu unaofanywa na serikali unataka kusema evolution imekusaidia?!
Hivi mtu mwenye akili timamu anaweza kushabikia upumbavu kama huu eti kwa sababu tu ni Muunga Mkono Juhudi?! Tuwakumbushe tu kwamba, Nape na Kinana walikuwa Key Players kuhakikisha watu wanaunga mkono juhudi lakini leo wamegeuka kuwa main target ya utawala wa kidhalimu! So, it's a matter of time, hata nyie wapiga makofi ipo tu siku yenu! Hakuna utawala wa kidhalimu uliowahi kudumu daima!
 
Mabwege wengi huku Africa wanawazaga namna hii ndio maana watawala wanawatumia wawezavyo
Haiwezekani sote tukawaza kama wewe na wateule wako wachache!!.
 
Kwani imethibitishwa ni yeye aliyeandika au umeambiwa ni tuhuma tu hadi hapo mahakama itakapomtia hatiani?
 
Sikutakiwa kuelewa. Nimeandika maoni yangu kuhusiana na kukamatwa kwake.
Sasa kwann unaruhusu hisia zako zikutoe katika maoni ya udadisi nauchunguzi alousema hata kukufanya kushindwa kuona kweli??

Unajua Hatutaendelea ikiwa tutajifanya hatuoni .


Sikatai kazi nzuri anayoifanya mkuu, anafanya kazi bora hata kama ni kazi bora kupitia kuwabana wananchi wake. LAKINI SANA linapokuja suala la kukiuka misingi ya ubinadamu , watu wanatekwa, wanauliwa ovyo, kesi za kuonewa n.k kwa kisingizio cha kujenga nchi ilo nikosa kubwa na dhambi kubwa.


Yuko wapi Gadafi?? Ndio alileta maendeleo, lkn kosa dogo la kubagua kabila dogo nchin mwake,, liliwapa fursa mabeberu kumungusha..je ni vip kama angethamin ili kundi??

Asili ya mwanadamu nihiii, Hata kama utampa maitaji yote bure..lkn ukachezea Uhuru wake ,akayashudia mateso anayopata jiran wake... Kamwe hatokaa akuelewe, sanasana atakua anasubiri siku ifike ili umuelewe.


Tatizo tulilinao leo hii. Ni Kiongozi asosikia Mashauri .
Kiongozi kua na washauri ambao wameamua kumkubali na kumshauri kwa manufaa yao mwenyewe.

Nakupa mfano..Vita ya RC wetu dhidi ya madawa ya kulevya, imemuacha yeye mwenyewe leo hii kutokua nauhakika wa maisha yake ( jambo zuri kupambana ).. Lkn je, Unategemea mtu huyu asiendelee kumshawishi mkuu kubakia madarakani kwa njia yoyote ile ilimradi tu ajihakikishie usalama wake???.

Nandio maana unaona leo hii kila mtu kaamua kumtetea mwenzake, na kwa sababu hiyo Watu wataendelea kutekwa, kuuliwa n.k PASIPO KUPATA MAJIBU SAHIHI.
 
Kwani Raisi ana staha kwa raia anaowatawala? Wako waliokufa kwa kusengenywa huku Raisi akikejeli na kusema anatumbua, mbele ya halaki ya watu..

Wako waliopigwa risasi, wako Waliokutwa wamenjinyonga nk..
 
Wakili gani anatumia gmail.com?
 
Jingalao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…