LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 10,482
- 14,007
Duh inasikitisha sana pale vyombo vya dola vinapovunja sheria waziwazi dah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utasemaje kuokoa wenye makosa Erick anayo makosa gani?? Kwani c kweli kuwa Magufuli kaminya demokrasia na anatumia kikosi maalum kuua raia na kuwakamata. Rais gani ambaye ameshindwa kukemea mauaji na utekaji. Kama c yy ndiyo kiongozi wao mkuu. ERIC aliandika ukweli kama yy ni mhalifu wanaogopa nn kumpeleka mahakamani??Pole zake.Kama kweli ni yeye, basi hakutenda sawa ktk uandishi wake. Tulisoma makarazakr lakini bila kujua nani anaandika.Aliandika kwa kujifichaficha, jamboa ambalo lilimpa uhuru wa kusema mawazo yake. Pamoja na haya ya wakili, sielewi kazi ya wanasheria ni nini? Je, ni kuwaokoa wenye makosa? Au kuwahakikishia hukumu wanayostahili. Naona mara nyingi mafaikioa yao namajivuno ni kuona muharifu akiachiwa!
Uandikaji wa mwandishi huyu, haukuwa na staha kwa rais, hata kama anaamini rais aliyepo ni bwege. Alistahili kuheshimu nafasi hiyo.
Kigoma barabara ya kasulu inajengwa, lile tope la kufamtu litakuwa historia, kunampango wa kujenga reli kutoka Uvinza mpaka Burundi. Kwa sasa bandari ya Kasanga inapanuliwa na napia kuna mpango wa kuongoza meli nyingine mpya ziwa Tanganyika..Maendeleo yanakuja baada ya watu kubishana kwa hoja,sasa huko kigoma mjini maendeleo yataenda lini kama fedha zote za serikali zinapelekwa cattle???- don't be stupid
Sema tu, Stiglers Gorge, SGR, Bombardier, Chato International Airport, Burigi National Park.....labda tutakuelewa!!
Sio lazima watu wote tufanane
Tulia wewee acha porojo jamvini fanya kazi na ujikite kwenye mada
Hata saa mbovu itasema wakati sahihi mara mbili kwa siku. Haiwezekani mtu apinge kila wakati labda mwenyewe awe mbovu luliko saa mbovu.Siku mtakapokuwa kiakili
Marekani angechinjwa kabisaUandishi gani wakuweka dhihaka na dharau kwa Rais!!
Ashukuru sana ni Tanzania
Marekani angechinjwa kabisa
Daaahh acha upumbavu nani yuko tayari kumtetea huyo bwegeMsaliti msaliti, muache awe ndumila kuwili ili ajue kwa nini watanzania wapo tayari kufa wakimtetea Dkt Magufuli ili atuletee maendeleo, hatutaki wajinga wajinga wanaotaka kushusha ari mioyo ya watanzania wanaosema hapa kazi tu! Akome na akomeshwe huyo msaliti.
chukua LIKE mkuuHii nchi inaongozwa na washamba!
Halafu mtu mmoja anasikika anauliza kwanini dhahabu yetu ikamatiwe kenya,vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vinakuwa wapi?
Jibu:Viko busy na kushughulikia mambo yasiyo na mashiko,kiufupi ya kipuuzi puuzi tu!
Kama iwapo mamlaka zinazohusika na uraia zitilia shaka uraia wa mtu na hapo baadae ikathitika kwamba hana matatizo ya uraia, upo umuhimu wa kupatiwa Certificate of Cleanness. Hii itakuwa ushuhuda wa kutokusumbuliwa kila wakati na mamlaka zinazoshughulikia masuala ya uraiaTAARIFA KUHUSU KUKAMATWA, KUWEKWA MAHABUSU NA KUHOJIWA KWA MWANDISHI WA HABARI ZA UCHUNGUZI ERICK KABENDERA
Tarehe 29 Julai 2019, majira ya saa 11 jioni, watu wasiojulikana na waliovaa kiraia, walifika nyumbani kwa Erick Kabendera eneo la Mbweni Mpigi Dar, wakitaka kumkamata.
Hata hivyo, ushirikiano wa marafiki wa Erick na majirani waliofika katika eneo la tukio, ulilazimisha watu hao kujitambulisha kuwa ni askari Polisi.
Baada ya kujitambulisha, watu hao walifanikiwa kumchukua Erick na kwenda naye kusikojulikana, wakachukua simu yake na kuifunga kiasi kwamba hakuweza tena kuwasiliana tena na wenzake.
Kufikia leo, Erick Kabendera amefikisha siku tano akiwa mikononi mwa Polisi.
Kwa mujibu wa sheria za Tanzania, Polisi inatakiwa kukaa na mtu kwa muda usiozidi saa 24 kabla ya kumfikisha mahakamani. Kama itataka kukaa na mtu kwa zaidi ya muda huo, inatakiwa kupata kibali cha Mahakama.
Katika jambo hili la Kabendera; taratibu zote hizi hazijafuatwa -kwamba Polisi imekaa naye kwa zaidi ya saa 24 na haijapata ruhusa ya Mahakama kufanya hivyo.
Katika siku yake ya kwanza kushikiliwa, Kabendera alihojiwa kwa zaidi ya saa nne na maofisa wa Idara ya Uhamiaji kuhusu Uraia wake.
Ni Idara hiyohiyo ya Uhamiaji iliwahi kusema huko nyuma kwamba suala la uraia wa Kabendera halina utata.
Agosti Mosi, 2019, Kabendera alichukuliwa na askari wa Kituo cha Polisi cha Kati kitengo cha Makosa ya Mtandaoni na kuhojiwa kwa zaidi ya saa tatu kwa tuhuma za uchochezi kwa mujibu wa Sheria ya Huduma za Habari kifungu cha 52 na 53.
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeamua kumshitaki Erick Kabendera kwa makosa ya uchochezi kwa madai kwamba mnamo Julai 31 mwaka huu, alichapisha habari katika jarida la The Economist yenye kichwa cha habari kisemacho “John Magufuli is bulldozing Tanzania’s Freedom”.
Erick amenyimwa dhamana na Jeshi la Polisi ingawa dhamana ni haki yake kikatiba.
Mchana huu, Jeshi la Polisi limetuma maofisa wake kwenda kufanya upekuzi nyumbani kwa Kabendera.
Kama Wakili wake, nalifuatilia jambo hili kwa karibu na nitakuwa nikitoa kwa Watanzania na Jamii ya Kimataifa kila itakapohitajika kufanya hivyo.
Imetolewa na
Jebra Kambole
Law Guards Advocates
2nd August 2019.
Kwa maelezo zaidi, tunaweza kuwasiliana kupitia
Phone: +255 717334032
Email: jebrakambole@gmail.com
Akifikishwa mahakamani, hana hatia maana siyo jinai kumsema Rais alimradi kama hakumtusi.Kwa uandishi ule uliochapishwa kwenye makala kadhaa za gazeti hilo la kigeni ambazo, nilipata kuzisoma na baadhi kuzipuuza, sidhani kama anapaswa kulilia watu au Dola imhurumie.... Janga hili kalitengeneza mwenyewe kama kweli ndiye aliyeandika au kushiriki kwa namna yoyote ile.[emoji34][emoji34]
Pole zake.Kama kweli ni yeye, basi hakutenda sawa ktk uandishi wake. Tulisoma makarazakr lakini bila kujua nani anaandika.Aliandika kwa kujifichaficha, jamboa ambalo lilimpa uhuru wa kusema mawazo yake. Pamoja na haya ya wakili, sielewi kazi ya wanasheria ni nini? Je, ni kuwaokoa wenye makosa? Au kuwahakikishia hukumu wanayostahili. Naona mara nyingi mafaikioa yao namajivuno ni kuona muharifu akiachiwa!
Uandikaji wa mwandishi huyu, haukuwa na staha kwa rais, hata kama anaamini rais aliyepo ni bwege. Alistahili kuheshimu nafasi hiyo.
Ni hao hao wazungu, ndiko tulikoenda ili kuupata uhuru wetu, na kuuondoa ubaguzi wa rangi. Labda hujui hostoria au uelewa wako una hitilafu. Mwalimu alienda wapi ili kupata uhuru wa Tanganyika? Ni nani waliosababisha kukpmeshwa ubaguzi wa rangi South Africa?Kuna watu hapa TZ na Afrika hushukuru sana wakisikia Mzungu akitukana mataifa yao. Na, Ukiona hivyo, ni ishara na watu ambao evolution haikuwasaidia. Baadhi ni viongozi! Hapa kwetu niliona CHADEMA wakielekea umoja wa EU kushtaki serikali.
Toooo low!
Pole zake.Kama kweli ni yeye, basi hakutenda sawa ktk uandishi wake. Tulisoma makarazakr lakini bila kujua nani anaandika.Aliandika kwa kujifichaficha, jamboa ambalo lilimpa uhuru wa kusema mawazo yake. Pamoja na haya ya wakili, sielewi kazi ya wanasheria ni nini? Je, ni kuwaokoa wenye makosa? Au kuwahakikishia hukumu wanayostahili. Naona mara nyingi mafaikioa yao namajivuno ni kuona muharifu akiachiwa!
Uandikaji wa mwandishi huyu, haukuwa na staha kwa rais, hata kama anaamini rais aliyepo ni bwege. Alistahili kuheshimu nafasi hiyo.
vipi? Unafnya mazoezi ya kubishana nami. Niko juu ya kiwango chako.Ni hao hao wazungu, ndiko tulikoenda ili kuupata uhuru wetu, na kuuondoa ubaguzi wa rangi. Labda hujui hostoria au uelewa wako una hitilafu. Mwalimu alienda wapi ili kupata uhuru wa Tanganyika? Ni nani waliosababisha kukpmeshwa ubaguzi wa rangi South Africa?
Ukoloni ulifanywa na wazungu, ubaguzi ulifanywa na wazungu, na wazungu ndio walikuwa wanunuzi wa watumwa LAKINI ni hao hao tuliwatumia ili kuutokomeza ukoloni, ubaguzi wa rangi na biashara ya itumwa.
Hivi huyu Erick Kabendera kwao ni kijiji gani?TAARIFA KUHUSU KUKAMATWA, KUWEKWA MAHABUSU NA KUHOJIWA KWA MWANDISHI WA HABARI ZA UCHUNGUZI ERICK KABENDERA
Tarehe 29 Julai 2019, majira ya saa 11 jioni, watu wasiojulikana na waliovaa kiraia, walifika nyumbani kwa Erick Kabendera eneo la Mbweni Mpigi Dar, wakitaka kumkamata.
Hata hivyo, ushirikiano wa marafiki wa Erick na majirani waliofika katika eneo la tukio, ulilazimisha watu hao kujitambulisha kuwa ni askari Polisi.
Baada ya kujitambulisha, watu hao walifanikiwa kumchukua Erick na kwenda naye kusikojulikana, wakachukua simu yake na kuifunga kiasi kwamba hakuweza tena kuwasiliana tena na wenzake.
Kufikia leo, Erick Kabendera amefikisha siku tano akiwa mikononi mwa Polisi.
Kwa mujibu wa sheria za Tanzania, Polisi inatakiwa kukaa na mtu kwa muda usiozidi saa 24 kabla ya kumfikisha mahakamani. Kama itataka kukaa na mtu kwa zaidi ya muda huo, inatakiwa kupata kibali cha Mahakama.
Katika jambo hili la Kabendera; taratibu zote hizi hazijafuatwa -kwamba Polisi imekaa naye kwa zaidi ya saa 24 na haijapata ruhusa ya Mahakama kufanya hivyo.
Katika siku yake ya kwanza kushikiliwa, Kabendera alihojiwa kwa zaidi ya saa nne na maofisa wa Idara ya Uhamiaji kuhusu Uraia wake.
Ni Idara hiyohiyo ya Uhamiaji iliwahi kusema huko nyuma kwamba suala la uraia wa Kabendera halina utata.
Agosti Mosi, 2019, Kabendera alichukuliwa na askari wa Kituo cha Polisi cha Kati kitengo cha Makosa ya Mtandaoni na kuhojiwa kwa zaidi ya saa tatu kwa tuhuma za uchochezi kwa mujibu wa Sheria ya Huduma za Habari kifungu cha 52 na 53.
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeamua kumshitaki Erick Kabendera kwa makosa ya uchochezi kwa madai kwamba mnamo Julai 31 mwaka huu, alichapisha habari katika jarida la The Economist yenye kichwa cha habari kisemacho “John Magufuli is bulldozing Tanzania’s Freedom”.
Erick amenyimwa dhamana na Jeshi la Polisi ingawa dhamana ni haki yake kikatiba.
Mchana huu, Jeshi la Polisi limetuma maofisa wake kwenda kufanya upekuzi nyumbani kwa Kabendera.
Kama Wakili wake, nalifuatilia jambo hili kwa karibu na nitakuwa nikitoa kwa Watanzania na Jamii ya Kimataifa kila itakapohitajika kufanya hivyo.
Imetolewa na
Jebra Kambole
Law Guards Advocates
2nd August 2019.
Kwa maelezo zaidi, tunaweza kuwasiliana kupitia
Phone: +255 717334032
Email: jebrakambole@gmail.com
Uandishi gani wakuweka dhihaka na dharau kwa Rais!!
Ashukuru sana ni Tanzania
Bila shaka ndio maana yuko chini ya ulinzi, maana haki yake itapatikana mahakamani.Akifikishwa mahakamani, hana hatia maana siyo jinai kumsema Rais alimradi kama hakumtusi.