Mmoja wa Mawakili wa Erick Kabendera aeleza kinachoendelea

Duh inasikitisha sana pale vyombo vya dola vinapovunja sheria waziwazi dah
 
Wameenda kukagua tena nyumba yake!!!
 
Utasemaje kuokoa wenye makosa Erick anayo makosa gani?? Kwani c kweli kuwa Magufuli kaminya demokrasia na anatumia kikosi maalum kuua raia na kuwakamata. Rais gani ambaye ameshindwa kukemea mauaji na utekaji. Kama c yy ndiyo kiongozi wao mkuu. ERIC aliandika ukweli kama yy ni mhalifu wanaogopa nn kumpeleka mahakamani??
 
Uchochezi ni nini? Kwa utawala wa awamu ya 5, Uchochezi ni kuandika mambo "negative" ambayo kiukweli yanatoteka nchini kwako na watawala hawataki yaandikwe, in particular kwenye media za "mabeberu/watoa misaada".

Harafu kuna watu humu ati wanasema jamaa alikosea sana kuandika vile. Yaani tumekaririshwa kuimba mapambio ya kusifu na kuabudu tu. Ndio maana wachache wanaojitokeza kusema kweli wanaonekana sio watanzania halisi kwa kuwa kwa wengi, utanzania halisi ni kupiga kimya kizwazwa hata kama unaminywa ke.nde
 
Maendeleo yanakuja baada ya watu kubishana kwa hoja,sasa huko kigoma mjini maendeleo yataenda lini kama fedha zote za serikali zinapelekwa cattle???- don't be stupid
Kigoma barabara ya kasulu inajengwa, lile tope la kufamtu litakuwa historia, kunampango wa kujenga reli kutoka Uvinza mpaka Burundi. Kwa sasa bandari ya Kasanga inapanuliwa na napia kuna mpango wa kuongoza meli nyingine mpya ziwa Tanganyika..
Sema tu, Stiglers Gorge, SGR, Bombardier, Chato International Airport, Burigi National Park.....labda tutakuelewa!!
Sio lazima watu wote tufanane
Tulia wewee acha porojo jamvini fanya kazi na ujikite kwenye mada
Siku mtakapokuwa kiakili
Hata saa mbovu itasema wakati sahihi mara mbili kwa siku. Haiwezekani mtu apinge kila wakati labda mwenyewe awe mbovu luliko saa mbovu.
 
Daaahh acha upumbavu nani yuko tayari kumtetea huyo bwege
 
Hii nchi inaongozwa na washamba!

Halafu mtu mmoja anasikika anauliza kwanini dhahabu yetu ikamatiwe kenya,vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vinakuwa wapi?

Jibu:Viko busy na kushughulikia mambo yasiyo na mashiko,kiufupi ya kipuuzi puuzi tu!
chukua LIKE mkuu
 
Kama iwapo mamlaka zinazohusika na uraia zitilia shaka uraia wa mtu na hapo baadae ikathitika kwamba hana matatizo ya uraia, upo umuhimu wa kupatiwa Certificate of Cleanness. Hii itakuwa ushuhuda wa kutokusumbuliwa kila wakati na mamlaka zinazoshughulikia masuala ya uraia
 
Ila Kabendera ni mmoja ya watu wenye bahati sana au tuseme kwa muda ule alikuwa upande wake!
 
Akifikishwa mahakamani, hana hatia maana siyo jinai kumsema Rais alimradi kama hakumtusi.
 
Sasa mtu akiachiwa na mahakama kuwa hana hatia,wewe unaendeleaje kusema"akiachwa mhalifu"?Khaaa we vipi?
 
Kuna watu hapa TZ na Afrika hushukuru sana wakisikia Mzungu akitukana mataifa yao. Na, Ukiona hivyo, ni ishara na watu ambao evolution haikuwasaidia. Baadhi ni viongozi! Hapa kwetu niliona CHADEMA wakielekea umoja wa EU kushtaki serikali.
Toooo low!
Ni hao hao wazungu, ndiko tulikoenda ili kuupata uhuru wetu, na kuuondoa ubaguzi wa rangi. Labda hujui hostoria au uelewa wako una hitilafu. Mwalimu alienda wapi ili kupata uhuru wa Tanganyika? Ni nani waliosababisha kukpmeshwa ubaguzi wa rangi South Africa?

Ukoloni ulifanywa na wazungu, ubaguzi ulifanywa na wazungu, na wazungu ndio walikuwa wanunuzi wa watumwa LAKINI ni hao hao tuliwatumia ili kuutokomeza ukoloni, ubaguzi wa rangi na biashara ya itumwa.
 

"..Tarehe 29 Julai 2019, majira ya saa 11 jioni, watu wasiojulikana na waliovaa kiraia, walifika nyumbani kwa Erick Kabendera eneo la Mbweni Mpigi Dar, wakitaka kumkamata..."

"..Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeamua kumshitaki Erick Kabendera kwa makosa ya uchochezi kwa madai kwamba mnamo Julai 31 mwaka huu, alichapisha habari katika jarida la The Economist.."

Mtu anakamatwa tar 29 July kwa kosa alilolifanya in a future date, yaani tar 31 July? Sijui kisheria limekaaje.
 
vipi? Unafnya mazoezi ya kubishana nami. Niko juu ya kiwango chako.
 
Hivi huyu Erick Kabendera kwao ni kijiji gani?
 
Uandishi gani wakuweka dhihaka na dharau kwa Rais!!
Ashukuru sana ni Tanzania

Angekuwa Rwanda au China, kwa kutaja nchi chache tu, mambo yangekuwa mengine saa hizi....Ni kweli ashukuru kuwa hili limetokea Tanzania
 
Akifikishwa mahakamani, hana hatia maana siyo jinai kumsema Rais alimradi kama hakumtusi.
Bila shaka ndio maana yuko chini ya ulinzi, maana haki yake itapatikana mahakamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…