Mmoja wa Mawakili wa Erick Kabendera aeleza kinachoendelea

Kuna watu hapa TZ na Afrika hushukuru sana wakisikia Mzungu akitukana mataifa yao. Na, Ukiona hivyo, ni ishara na watu ambao evolution haikuwasaidia. Baadhi ni viongozi! Hapa kwetu niliona CHADEMA wakielekea umoja wa EU kushtaki serikali.
Toooo low!
Unavyotaka washangilie na kumsifia mkandamizaji wa haki zao? Wawe wanagugumia kimyakimya ili 'mzungu asisikie na 'kututukana'? Wasitoe siri ya kuonewa kwao katika nchi yao ili wasimchafue 'Rais' wao? KAMA kweli hayo yatoka moyoni mwako, basi tuna tatizo kubwa katika nchi hii. Kwani hiyo ndio style ilokuwa ikitumiwa na makaburu SA. Amen.
 
Kuna watu hapa TZ na Afrika hushukuru sana wakisikia Mzungu akitukana mataifa yao. Na, Ukiona hivyo, ni ishara na watu ambao evolution haikuwasaidia. Baadhi ni viongozi! Hapa kwetu niliona CHADEMA wakielekea umoja wa EU kushtaki serikali.
Toooo low!
Na Kuna watu hapa Tanzania na Afrika wanaofurahi Sana na kukenua wakiona madikteta wakiua watu hovyo kwa kisingizio cha maendeleo uchwara!!!
 
Ukichukua maandishi ya hiku JF ukilinganisha na makala za the Economist ni uandishi upi wenye staha zaidi?
 
Unaandika kama mtu ambaye hajitambui ndiyo maana unahitajika kusoma sheria ili upate ABC za sheria itakusaidia kuwa na mtazamo chanya dhidi ya sheria na wanasheria.
 
Tusaidie difination ya maendeleo plz
 
Watu wanaenda kinyume na utawala wowote lazima wanyamazishwe au waende sehemu nyengine.Hata Mungu aliona ni vyema kumtimua shetani na malaika zake !! Acheni kutumika kwa manufaa ya matumbo yenu hapo mtaishi kwa amani
 
Yeye anachotakiwa kufanya ni kura kuamua na si vinginevyo. Ukiona mtu anapenda sana kusifiwa inabidi umchunguze vizuri kama hizo sifa zinaendana na hayo.
""Any man who must say 'I am the King' is no true king," says Tywin. (And in Joffrey's world, being King means that "everyone is mine to torment.")
Game Of Thrones
 
Sijaelewa vyema alikamatwa,29-july ,kosa la uchochezi ni 31-july kwa hiyo alikamatwa kabla ya kutenda kosa
 
Watu wanaenda kinyume na utawala wowote lazima wanyamazishwe au waende sehemu nyengine.Hata Mungu aliona ni vyema kumtimua shetani na malaika zake !! Acheni kutumika kwa manufaa ya matumbo yenu hapo mtaishi kwa amani
Wanyamazishwe =wauwawe?
Waende sehemu nyingine=wafukuzwe nchini?

Ndio akili za awamu ya tano kuwa ukimpinga JPM basi ni kifo au kufukuzwa nchini!!!
Huu ni uendawazimu kabisaaa!
 
Wrong or criticize some people and they will spend the rest of their lives seeking revenge.....
 
Jiwe ni mshamba.. bhaasi. Lakini anaelewa ambavyo tulimgaragaza kwenye sanduku la kura, anajuwa vema kabisa. Anafahamu pia tutamgaragaza tena akigombea 2020. Woga wake ni dhahiri, hasa akikumbuka kuwa hana wherewithal upstairs ya kujenga hoja.. ndo maana jamaa anachukia watu wote wenye akili zaidi yake. Yeye anaona bora afanye kazi na mang'ombe kina musiba na bashite kwa sababu hawajiwezi.. wako tayari kumlamba pnmbu ili mradi mkono wao uende kinywani
 
Watu wanaenda kinyume na utawala wowote lazima wanyamazishwe au waende sehemu nyengine.Hata Mungu aliona ni vyema kumtimua shetani na malaika zake !! Acheni kutumika kwa manufaa ya matumbo yenu hapo mtaishi kwa amani
Ushamba kazini na ukosefu wa weledi wa kujibu hoja kwa hoja
 
Inawezekana uwezo wa kujibu hoja hana...
 
Uandishi gani anaoufanya Musiba na hajawai kuojiwa na police ata kwa dk 5 au kwakuwa anawazalilisha wenye mitazamo tofauti na nyinyi??!!!
Uandishi gani wakuweka dhihaka na dharau kwa Rais!!
Ashukuru sana ni Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…