Tetesi: Mmoja wa Watekaji wa Mfanyabiashara Deogratius Tarimo ni huyu hapa...

Quinine

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
22,227
Reaction score
49,628
Kutoka Mtandao wa X (Twitter)

1. Huyo jamaa tall mwenye aliyevaa raba na shati la mistari amepiga JKT Orjoro mwaka 2008 (Operation Kilimo kwanza)

Alifahamika pale jkt kwa jina la NYANG'AU na alikuwa kombania B (B Coy)

Mwaka 2009 akaajiriwa na jeshi la polisi na urefu wake ndio uliombeba.

Mwaka 2021 aliumizwa akiwa ametoka kwenye moja ya kazi kama hizi mkoni Kilimanjaro

Akaenda kutibiwa hospitali ya Midowel iliyoko Mpakani, maili moja, Kibaha.

Tetesi ni kwamba, alikuwa sehemu ya timu iliyoenda kuwakamata walinzi wa WeMbo mkoani Arusha kipindi kile.

Huyu anaunda timu ya watu watano ambaye mmoja wake (namfahamu lakini simtaji hapa kwa kuwa si sehemu ya swala hili) Initials za majina yake ni E. K

Yeye hukaa pale uwanja wa ndege JKNIA akijicamouflage kama muuza maua.

2. Mwenye Kapelo tayari amefahamika kama Evarist. Pdf lake la "Know Your Client" lipo njiani.

GcNumyWWgAAEDgu.jpg

20241113_104019.jpg

GcN1dbuWoAAV8vJ.jpeg

==================

GcN1ddNXsAA2jbJ.jpeg

GcN1ddMXQAAEz9o.jpeg
 
Kutoka mtandao wa X (Twitter)

View: https://x.com/fbuyobe/status/1856449109030515142

1. Huyo jamaa tall mwenye aliyevaa raba na shati la mistari amepiga JKT Orjoro mwaka 2008 (Operation Kilimo kwanza)

Alifahamika pale jkt kwa jina la NYANG'AU na alikuwa kombania B (B Coy)

Mwaka 2009 akaajiriwa na jeshi la polisi na urefu wake ndio uliombeba.

Mwaka 2021 aliumizwa akiwa ametoka kwenye moja ya kazi kama hizi mkoni Kilimanjaro

Akaenda kutibiwa hospitali ya Midowel iliyoko Mpakani, maili moja, Kibaha.

Tetesi ni kwamba, alikuwa sehemu ya timu iliyoenda kuwakamata walinzi wa WeMbo mkoani Arusha kipindi kile.

Huyu anaunda timu ya watu watano ambaye mmoja wake (namfahamu lakini simtaji hapa kwa kuwa si sehemu ya swala hili) Initials za majina yake ni E. K

Yeye hukaa pale uwanja wa ndege JKNIA akijicamouflage kama muuza maua.

2. Mwenye Kapelo tayari amefahamika kama Evarist. Pdf lake la "Know Your Client" lipo njiani.

View attachment 3151082

Mungu mkubwa.nadhani wangefanikiwa kumuuingiza kwenye hiyo raumu huenda ingekuwa ndiyo basi.Mungu ni mwema siku zote sijui wamehusika na matukio mangapi na mangapi yamepoteza maisha ya watu
 
Kutoka mtandao wa X (Twitter)

View: https://x.com/fbuyobe/status/1856449109030515142

1. Huyo jamaa tall mwenye aliyevaa raba na shati la mistari amepiga JKT Orjoro mwaka 2008 (Operation Kilimo kwanza)

Alifahamika pale jkt kwa jina la NYANG'AU na alikuwa kombania B (B Coy)

Mwaka 2009 akaajiriwa na jeshi la polisi na urefu wake ndio uliombeba.

Mwaka 2021 aliumizwa akiwa ametoka kwenye moja ya kazi kama hizi mkoni Kilimanjaro

Akaenda kutibiwa hospitali ya Midowel iliyoko Mpakani, maili moja, Kibaha.

Tetesi ni kwamba, alikuwa sehemu ya timu iliyoenda kuwakamata walinzi wa WeMbo mkoani Arusha kipindi kile.

Huyu anaunda timu ya watu watano ambaye mmoja wake (namfahamu lakini simtaji hapa kwa kuwa si sehemu ya swala hili) Initials za majina yake ni E. K

Yeye hukaa pale uwanja wa ndege JKNIA akijicamouflage kama muuza maua.

2. Mwenye Kapelo tayari amefahamika kama Evarist. Pdf lake la "Know Your Client" lipo njiani.

View attachment 3151082

NAJARIBU KUJIULIZA DEO ALIKUWA MWANA SIASA? MKOSOAJI? AU SHIDA ZA KIBIASHARA NA WENZIE NASHINDWA KUPATA JIBU
 
Kwani huyu bwana Tarimo ni mwanaharakati? Au ameshawahi kusema vibaya kuhusu chama na serikali? Maana Sasa inatakiwa tuelewe watekaji wanalenga kina nani haswa!!!!?
Wakati mwingine waweza kukuta hata mambo binafsi yakapelekea hali hii kwa sababu wamesha ona upenyo ana watekaje wanalindwa hivyo mtu anawezankuwa na kisa binafsi akatumia mwanaya huo
 
a very good observation
 
NAJARIBU KUJIULIZA DEO ALIKUWA MWANA SIASA? MKOSOAJI? AU SHIDA ZA KIBIASHARA NA WENZIE NASHINDWA KUPATA JIBU
Nilisoma taarifa ya mmoja wa nyoka mwenye sumu kali duniani, black mamba, yeye hana nia ya kumshambulia adui yake bali anafanya hivyo kwa kuwa amejenga hofu ya kushambuliwa, tunakokwenda nina wasiwasi wananchi watageuka black mamba kwa wanausalama wetu na familia zao.
 
Wakati mwingine waweza kukuta hata mambo binafsi yakapelekea hali hii kwa sababu wamesha ona upenyo ana watekaje wanalindwa hivyo mtu anawezankuwa na kisa binafsi akatumia mwanaya huo
Dah.... Kwahiyo mambo binafsi mtu anakodi maaskari kabisa. Maana SI wameshaanza kutambuliwa ni maaskari???
Polisi wanatakiwa watoe tamko kwa watumishi wake kutumika ndivyo sivyo
 
NAJARIBU KUJIULIZA DEO ALIKUWA MWANA SIASA? MKOSOAJI? AU SHIDA ZA KIBIASHARA NA WENZIE NASHINDWA KUPATA JIBU
good observation.... if this is not the case, then hao "polisi"????/ "TISS"????/ or for that matter watekaji in general wanalipwa na opponent wa wanaotekwa kulipiza visasi vyao
 
Kutoka mtandao wa X (Twitter)

View: https://x.com/fbuyobe/status/1856449109030515142

1. Huyo jamaa tall mwenye aliyevaa raba na shati la mistari amepiga JKT Orjoro mwaka 2008 (Operation Kilimo kwanza)

Alifahamika pale jkt kwa jina la NYANG'AU na alikuwa kombania B (B Coy)

Mwaka 2009 akaajiriwa na jeshi la polisi na urefu wake ndio uliombeba.

Mwaka 2021 aliumizwa akiwa ametoka kwenye moja ya kazi kama hizi mkoni Kilimanjaro

Akaenda kutibiwa hospitali ya Midowel iliyoko Mpakani, maili moja, Kibaha.

Tetesi ni kwamba, alikuwa sehemu ya timu iliyoenda kuwakamata walinzi wa WeMbo mkoani Arusha kipindi kile.

Huyu anaunda timu ya watu watano ambaye mmoja wake (namfahamu lakini simtaji hapa kwa kuwa si sehemu ya swala hili) Initials za majina yake ni E. K

Yeye hukaa pale uwanja wa ndege JKNIA akijicamouflage kama muuza maua.

2. Mwenye Kapelo tayari amefahamika kama Evarist. Pdf lake la "Know Your Client" lipo njiani.

View attachment 3151082

Baada ya kutambuliwa what next?
 
Dah.... Kwahiyo mambo binafsi mtu anakodi maaskari kabisa. Maana SI wameshaanza kutambuliwa ni maaskari???
Polisi wanatakiwa watoe tamko kwa watumishi wake kutumika ndivyo sivyo
NA NAWEZEKANA KABISA MTU AKAWA NA MATATIZO NA MTU AKAONGEA NA POLISI WAMTEKE?
 
Kwamba inawezekanaje ndio najiuliza, ila huu upenyo ulitengenezwa na genge la makonda na sabaya kwahiyo Sasa wenye nia ovu wanapita nao TU maana Wana precedent
 
Back
Top Bottom