Lol...wewe na babu sio bure...daah!Babu namuheshimu bana
Na ulevi wake huu kumchapa makofi itakuwa kumuonea bana
Wacha nimlete tuu kwako hata alale sebuleni kwenye kochi
Lol...wewe na babu sio bure...daah!
Ha ha ha! Mpekeke asee manake mimi sitamuweza...Amelewa na kila akishtuka anataja Sl, SL,SL sasa mi nifanyeje
Au nimpeleke kwa TF akaombewe
Ha ha ha! Mpekeke asee manake mimi sitamuweza...
Khaaa!...kongosho!! Hazitaniletea TB jamani?
Nakupigia picha na hizo ndevu zako unampa mabusu SL
inachekesha
Bora tu uniogope
mie mwenyewe sipendi viskeleton
napenda walonuna
wa kuiba naye anaibiwa?
Nilishakwambia, mie mwenyewe mkware
nikiibiwa jua nimejilengesha ili niibiwe
ila Q bar sitakaa sana labda nusu saa tu
huwa kunakitu nikizimua hapo, akili inakaa mahali pake siku nzima
eliza wa Tegeta a.k.a kiboko ya wadada wa mmu,kwani mna hamu naye,akitokezea kichwa tu wote mnaingia mvunguni!
Uzi wako Bishanga wa wanaume ndio tulivyo bana. Ulileta sana ubishi mpaka Babu karibu povu limtoke kuubishia[/QUOTE
Hivi mkeo anaitwa nani vile? Na kale katoto kenu je??]
Unavoringa na Eliza wewe???
yote ni yenu mi yangu *mama mwenye nyumba mtam! naifungia mwaka nafungua na tafuta wako wa mwenzio sumu
Kuna watu walizusha eti mi ndo Eliza wa Tegeta....teh teh teh....walimwengu bana daaah.
mi na dena amsi tuna chupa za maji bana.Afu mbona TF kama kashika chupa ya bia au maombi yake yanaendeshwa na kunywa bia
Mhhh hapa naona ni kichaka maana kila muumini wake kashika kinywaji bia, konyagian valuer, vat69, grant, kiroba, jack daniel,
Lol lol NN hata wewe unajishtukia jamaniii
unapenda steak ya Q bar sio?na chips?my favourite,jumapili nitakuja hapo kuangalia mpira,karibu.