MMU thread ya kufungia mwaka

MMU thread ya kufungia mwaka

Ha ha ha! Mpekeke asee manake mimi sitamuweza...

Afu mbona TF kama kashika chupa ya bia au maombi yake yanaendeshwa na kunywa bia
Mhhh hapa naona ni kichaka maana kila muumini wake kashika kinywaji bia, konyagian valuer, vat69, grant, kiroba, jack daniel,
 
yote ni yenu mi yangu *mama mwenye nyumba mtam! naifungia mwaka nafungua na tafuta wako wa mwenzio sumu
 
wa kuiba naye anaibiwa?
Nilishakwambia, mie mwenyewe mkware
nikiibiwa jua nimejilengesha ili niibiwe
ila Q bar sitakaa sana labda nusu saa tu
huwa kunakitu nikizimua hapo, akili inakaa mahali pake siku nzima

unapenda steak ya Q bar sio?na chips?my favourite,jumapili nitakuja hapo kuangalia mpira,karibu.
 
Mshauri basi anyoe jamani, mie nimemshauri mpaka nimejichokea hanyoi... Zinanipa shida kwenye yale mambo yetu bana.

we SL acha kuntia majaribuni,ujue nina afya njema mie.
 
eliza wa Tegeta a.k.a kiboko ya wadada wa mmu,kwani mna hamu naye,akitokezea kichwa tu wote mnaingia mvunguni!

Subutuuuuu.....kati yake na sisi nani alieingia uvunguni kama sio yeye! Hebu wakati wa mapenzi mnon'goneze mwambie aje atangulize hata ukucha tu nini kichwa? Aone moto wake
 
Uzi wako Bishanga wa wanaume ndio tulivyo bana. Ulileta sana ubishi mpaka Babu karibu povu limtoke kuubishia[/QUOTE

Hivi mkeo anaitwa nani vile? Na kale katoto kenu je??]
 
Afu mbona TF kama kashika chupa ya bia au maombi yake yanaendeshwa na kunywa bia
Mhhh hapa naona ni kichaka maana kila muumini wake kashika kinywaji bia, konyagian valuer, vat69, grant, kiroba, jack daniel,
mi na dena amsi tuna chupa za maji bana.
 
Lol lol NN hata wewe unajishtukia jamaniii

Sio najishtukia...kuna PMs nilirushiwa kuulizwa. Siwezi kujishuku na kitu ambacho sihusiani nacho. Niliishia kuangua kicheko tu.

Ngoja nikuulize...hivi wewe mtu akikujia na kusema anadhani wewe ndo NN hutacheka?
 
unapenda steak ya Q bar sio?na chips?my favourite,jumapili nitakuja hapo kuangalia mpira,karibu.

Naomba nijiongeze kwenye list ila sasa itabidi mkiona mtu amevaa bugaluu na raizoni(maana mm ni mfupi sanaaa)mnisemeshe,mm natembea tu sihitaji hata bajaji. Nikivaa vingine mtanifananisha na wadada wa pale.
 
Back
Top Bottom