Hulda-Tamarri
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 2,714
- 4,074
Fungia channel nyingine zote bakiza unazoona ziko sawa na usiwalaumu Azam.
Umesema ukweli mimi si ruhusu huo ujinga wa tamthilia kwa watoto, bora wakafinyange udongo wacheze kuliko huo ujinga.View attachment 3283139
Hapa ndipo nasemaga Mzazi unapaswa Kuwa na jicho la tatu hasa linapokuja suala la malezi.
Hizi tamthiria za Azam tv Kuna namna zinatuharibia watoto kwa baadae ,
ROHO YA UZINZI
Mtoto WA darasa la tatu tayari anaanza kujua mpenzi Ni nani,
Mbona kama njia ya kurahisisha maisha ni Kuwa na mpenzi.
ROHO YA ULEVI
-Kuna ulevi humo ndani,, Kuna mtu kanywa pombe kwa sababu ya mawazo,,
Hilo nalo anakaanalo Kichwani.
KUABUDU SANAMU
-Kuna miungu ya sanamu kama ng'ombe wahindi wanaabudu,,,, huyu mtoto badae lazima mtasumbuana kwenye ibada Utakapoanza kumtambilisha kwa Mungu wako wewe.
Wazazi hizo ni baadhi Ya roho Chafu zinamuingia mtoto mapema sana. ...utaona kama hakuna madhara kwa sasa,, ,,,,zinamsubiri mbeleni inakuwa ni rahisi sana kumkumbusha.
Roho gani zilimuingia utotoni ndizo zitaamua tabia zake ukubwani.
Kwa wewe Ndugu yangu usiyepuuzia vitu na unawapenda watoto wako,,
Nakusihi usiruhusu huu ujinga wa matamthiria ya Azam tv.
Mafundisho yapo sehemu ndogo sana na haithiri watoto ukilinganisha na madhara yake kwa baadae.
Wako busy kueneza uislam na tamaduni zake.View attachment 3283139

Kwangu hakuna tv kabisa.Mimi kwangu ni cartoon mwanzo mwisho,ambae hataki ahame.
Kwanini watoe huduma ambayo inatuweka attention muda wote?Sidhani kama mmiliki (Azam Media) ana shida wewe unayetumia ndio unatakiwa ufanye uchaguzi mzuri kwa ajili ya watoto wako, otherwise utawalaumu bure tu.
Halafu kwenye hio film nimeona logo ya (PG; that means Parents Guidance) kwa maana ya hio film inahitaji usimamizi wa wazazi kwenye kuiangalia. Uwe unawaacha waangalie zenye logo ya GE mkuu.
Nashukuru kwangi sina tv na watoto wala hawana shida.
Nilichagua kuto kuwa nayoKwanini huna TV
Nilichagua kuto kuwa nayo
Azam kwenye filamu na tamthilia za nje anafeli sanaView attachment 3283139
Hapa ndipo nasemaga Mzazi unapaswa Kuwa na jicho la tatu hasa linapokuja suala la malezi.
Hizi tamthiria za Azam tv Kuna namna zinatuharibia watoto kwa baadae ,
ROHO YA UZINZI
Mtoto WA darasa la tatu tayari anaanza kujua mpenzi Ni nani,
Mbona kama njia ya kurahisisha maisha ni Kuwa na mpenzi.
ROHO YA ULEVI
-Kuna ulevi humo ndani,, Kuna mtu kanywa pombe kwa sababu ya mawazo,,
Hilo nalo anakaanalo Kichwani.
KUABUDU SANAMU
-Kuna miungu ya sanamu kama ng'ombe wahindi wanaabudu,,,, huyu mtoto badae lazima mtasumbuana kwenye ibada Utakapoanza kumtambilisha kwa Mungu wako wewe.
Wazazi hizo ni baadhi Ya roho Chafu zinamuingia mtoto mapema sana. ...utaona kama hakuna madhara kwa sasa,, ,,,,zinamsubiri mbeleni inakuwa ni rahisi sana kumkumbusha.
Roho gani zilimuingia utotoni ndizo zitaamua tabia zake ukubwani.
Kwa wewe Ndugu yangu usiyepuuzia vitu na unawapenda watoto wako,,
Nakusihi usiruhusu huu ujinga wa matamthiria ya Azam tv.
Mafundisho yapo sehemu ndogo sana na haithiri watoto ukilinganisha na madhara yake kwa baadae.
Dah!!!Cartoon zenyewe za kina super man ambazo ana basha wake wa kiume😆🤣
Huku ukijikaribishia “uhanithi” wa kujitakia.Nyomi sabuni ya kipande B 29.
Rose Monroe sabuni ya maji.
no H.I.V no U.T.I