Mna uhakika Bakhresa na Familia yake wanaangalia haya maujinga

Mna uhakika Bakhresa na Familia yake wanaangalia haya maujinga

Kosa ni la mzazi sio Azam.
Nashukuru hujakanusha madhara ya tamthiria.

Sasa nikuulize?
Nani mwenye Kosa kati ya muuza bangi na mtumiaji?

KUMBUKA: Bangi Ina madhara kwa jamii
 
Me nafikiri Azam media pamoja na kampun nyingne zinazomiliki visimbuzi wanatakiwa watengeneze mfumo wa kila mtu kuchagua channels anazopenda kutazama kwake ili anapolipia zinafunguka alizo chagua tu
 
Sio wajinga kuziita Program.
Watakuwa kile wanachokiona na kuskia.
Kitoto Cha Grade 3 kina twerk.
Aaah c'mon TV bhana.
 
Nashukuru hujakanusha madhara ya tamthiria.

Sasa nikuulize?
Nani mwenye Kosa kati ya muuza bangi na mtumiaji?

KUMBUKA: Bangi Ina madhara kwa jamii
Kama bangi imehalalishwa mtumiaji utapata hasara.....
Muuzaji anazidi kutajirika..
 
Nashukuru hujakanusha madhara ya tamthiria.

Sasa nikuulize?
Nani mwenye Kosa kati ya muuza bangi na mtumiaji?

KUMBUKA: Bangi Ina madhara kwa jamii
Haya mambo wanangalia famia masikini , wasioelimika au kusoma wasio na lakufanya huwez kukuta elite family wameweka cinema zao au azam 2 au 1 sijui futuristic hapo unamsha vinasaba vya uovu kwa mtt
 
Aheri hao...
Utakuta mtoto anaimba "Yule mtoto wa jana kanifanya mpaka sijielewi! Dokta nipime damu na U.T.I panawasha panauma" 😆😆😆
Aunt yangu wa miaka mi2 yeye anaimba "wenzenu leo hatulali kitanda cha moto, kulala tuachie watoto, usiku ndo hatari anaitikia Moto juu ya Moto"
Basata hawapo
 
Haya mambo wanangalia famia masikini , wasioelimika au kusoma wasio na lakufanya huwez kukuta elite family wameweka cinema zao au azam 2 au 1 sijui futuristic hapo unamsha vinasaba vya uovu kwa mtt
HAPA UMEMALIZA KIONGOZI.
MWENYE KUSIKIA ASIKIE.
MWENYE KUSHUPAZA SHINGO AENDELEE,,.
 
Kwanini huna TV
Wstz mnafata mumbo kdg mtu akipata vihela tv musical system jaman mtaenda kwa watu mabilionea hao mauchafu hakuna basi mmeshindwa wekeni smart uifungue zile tu zenye ulazima ingizeni vitu vya maana kwa watt wakuzeni wafungulieni alhazira BBC cnn wajue hata f16 zikoje
 
Kwahiyo kisa anauza Ice cream unataka ukifika nyumbani kwake uwakute wanalamba Ice-cream, kisa anauza Energy Drinks basi unataka na yeye anywe kama hapendelei ni dhambi?
 
Kama bangi imehalalishwa mtumiaji utapata hasara.....
Muuzaji anazidi kutajirika..
Tutakapofikia tz kuelimishana tutakua taifa moja zuri sana leo hii msomi kabisa hajui duniani kama nyumba si lazima iwekwe tiles si lazima iwekwe fancy si lazima uweke grill lakn kama huja study dunia utaona unavohisi ndio sahihi hapa jamvini kila mtu anataka akipata ela anunue powerful luxury car nyumba nje ya mji wakati tumenda UK matajir wanaishi kwenye public house haina tiles wala nn ni vile flate za sqm 150 lakini unambiwa ndio share holder wa Asda au tata yupo down kabisa anacho subir ni kuwekeza tu hapa kwetu miaka nenda unahangaika na nyumba gari sijui nn nwisho wa siku hatuna serving kwa kutaka utambulikane ww tajiri upo mbez sijui kazi kariakoo wale wahindi wametuzid
 
Me nafikiri Azam media pamoja na kampun nyingne zinazomiliki visimbuzi wanatakiwa watengeneze mfumo wa kila mtu kuchagua channels anazopenda kutazama kwake ili anapolipia zinafunguka alizo chagua tu
Kwani wao ndio wanakupangia kifurushi cha kununua au channels kuangalia..!?
 
View attachment 3283139
Hapa ndipo nasemaga Mzazi unapaswa Kuwa na jicho la tatu hasa linapokuja suala la malezi.
Hizi tamthiria za Azam tv Kuna namna zinatuharibia watoto kwa baadae ,

ROHO YA UZINZI
Mtoto WA darasa la tatu tayari anaanza kujua mpenzi Ni nani,
Mbona kama njia ya kurahisisha maisha ni Kuwa na mpenzi.

ROHO YA ULEVI
-Kuna ulevi humo ndani,, Kuna mtu kanywa pombe kwa sababu ya mawazo,,
Hilo nalo anakaanalo Kichwani.

KUABUDU SANAMU
-Kuna miungu ya sanamu kama ng'ombe wahindi wanaabudu,,,, huyu mtoto badae lazima mtasumbuana kwenye ibada Utakapoanza kumtambilisha kwa Mungu wako wewe.

Wazazi hizo ni baadhi Ya roho Chafu zinamuingia mtoto mapema sana. ...utaona kama hakuna madhara kwa sasa,, ,,,,zinamsubiri mbeleni inakuwa ni rahisi sana kumkumbusha.

Roho gani zilimuingia utotoni ndizo zitaamua tabia zake ukubwani.

Kwa wewe Ndugu yangu usiyepuuzia vitu na unawapenda watoto wako,,
Nakusihi usiruhusu huu ujinga wa matamthiria ya Azam tv.

Mafundisho yapo sehemu ndogo sana na haithiri watoto ukilinganisha na madhara yake kwa baadae.
Anawanyonya mazwazwa
 
-Darasa la tatu ulikuwa haujui mapenzi ni nini?
-Darasa la tatu haukuwa ukiona walevi?
-Mududu yako ya kuletewa(Islam/Christianity) ndiyo yanakufanya uone imani za wenzako ni inferior kwa imani yako? Kwa hiyo imani uliyokuwa brainwashed mpaka probably unaiamini kuliko hata hao walioitunga ni kwa kiwango gani imekufanya kuwa bora kiakili, kimafanikinikio na kijamii zaidi ya hao unaodhani imani yako ndiyo bora na ya ukweli zaidi kuliko imani yao?
- Unadai hizo roho za imani ya hao unaowadharau kuwa imani yao itasababisha roho chafu(what the heck is this?) ziwaingie watoto na kuwasababishia madhara. Hebu tumia japo common sense kidogo ulinganishe watoto wa imani yako na imani unayoidharau wapi wanakua kimaadili zaidi, wanasoma zaidi na wanafanikiwa zaidi.
Acha upumbavu, think outside the box.
 
Back
Top Bottom