Mna uhakika Bakhresa na Familia yake wanaangalia haya maujinga


Nilisema hapo toka kitambo
 
Umesema ukweli mimi si ruhusu huo ujinga wa tamthilia kwa watoto, bora wakafinyange udongo wacheze kuliko huo ujinga.
 
Wako busy kueneza uislam na tamaduni zake.
 
Kwanini watoe huduma ambayo inatuweka attention muda wote?
Nitakuwa na Kazi ya kudhibiti watoto na vipi kuhusu majukumu mengine?

-Haya Mimi nitajitahidi , vipi kuhusu wengine

Huyu mtoto kumbukaKuna Siku atakutana na mtoto wako uliyemtunza na atamlaghai.
Kwa hiyo hili ni jambo la kukemea..... madhara yake tutayaonja wote.
 
Nje ya mada

Mkuu kwanini unatumia chogo hafi leo?
 
Azam kwenye filamu na tamthilia za nje anafeli sana
 
Yani ilimradi unapata hela basi hujali watoto jamii inaathirikaje kweli? Unatofauti gani na muuza bangi??
Halafu kutwa kwenye Nyumba za ibada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…