M O N S T E R
JF-Expert Member
- Sep 26, 2022
- 8,825
- 20,941
Bangi haina madhara kwa jamii, historically bangi iliharamishwa kwa nguvu ya ushawishi wa makampuni ya kutengeneza sigara(back then) na kadri makampuni hayo yanavyopungua nguvu yao ya ushawishi bangi inakuwa legalized slowly but surely. Nchi nyingi zilizo-legalize socially and economically ziko stable zaidi ya nchi yako ambapo bangi imefanya kuwa haramu. Kihistoria TZ ni makabila mengi walikuwa wakitumia bangi ila wakoloni na nguvu ya makampuni yao ya sigara 'wakatutapeli' kwamba bangi haifai nasi tukakubali bila ya kutafakari.Nashukuru hujakanusha madhara ya tamthiria.
Sasa nikuulize?
Nani mwenye Kosa kati ya muuza bangi na mtumiaji?
KUMBUKA: Bangi Ina madhara kwa jamii
Hili wazo jema sana, Binafsi nimeweka News Channel zoteMe nafikiri Azam media pamoja na kampun nyingne zinazomiliki visimbuzi wanatakiwa watengeneze mfumo wa kila mtu kuchagua channels anazopenda kutazama kwake ili anapolipia zinafunguka alizo chagua tu
Ila unakuwa umefanya sehemu yako, hayo mengine hadi anahongwa maana yake ni mtu mzima.Ukimchunga mtoto sana kwenye TV yako sebuleni basi yatakayotokea kwenye smartphone aliyohongwa au kuazima hatakusimulia
Hiyo familia nasikia haitumii hata hizo juice wanazozalisha kwenye viwanda vyaoView attachment 3283139
Hapa ndipo nasemaga Mzazi unapaswa Kuwa na jicho la tatu hasa linapokuja suala la malezi.
Hizi tamthiria za Azam tv Kuna namna zinatuharibia watoto kwa baadae ,
ROHO YA UZINZI
Mtoto WA darasa la tatu tayari anaanza kujua mpenzi Ni nani,
Mbona kama njia ya kurahisisha maisha ni Kuwa na mpenzi.
ROHO YA ULEVI
-Kuna ulevi humo ndani,, Kuna mtu kanywa pombe kwa sababu ya mawazo,,
Hilo nalo anakaanalo Kichwani.
KUABUDU SANAMU
-Kuna miungu ya sanamu kama ng'ombe wahindi wanaabudu,,,, huyu mtoto badae lazima mtasumbuana kwenye ibada Utakapoanza kumtambilisha kwa Mungu wako wewe.
Wazazi hizo ni baadhi Ya roho Chafu zinamuingia mtoto mapema sana. ...utaona kama hakuna madhara kwa sasa,, ,,,,zinamsubiri mbeleni inakuwa ni rahisi sana kumkumbusha.
Roho gani zilimuingia utotoni ndizo zitaamua tabia zake ukubwani.
Kwa wewe Ndugu yangu usiyepuuzia vitu na unawapenda watoto wako,,
Nakusihi usiruhusu huu ujinga wa matamthiria ya Azam tv.
Mafundisho yapo sehemu ndogo sana na haithiri watoto ukilinganisha na madhara yake kwa baadae.
Ninashukuru Sina tv sebuleni kwangu, Mana media may program my lovely babies mind. Bora wataanza kuangalia wakiwa wakubwa hapo ni sawa , Ila wadogo waendelee kujisomea hadithi kabla ya kulala Kama zamani kupiga stori na babu kabla ya kulala ni Bora , yaani sioni faida ya tv sebuleni, labda niambie Mana nimeshinnda na hayo madude adi kero yaani napenda utulivu Ile human to human interactionMimi kwangu ni cartoon mwanzo mwisho,ambae hataki ahame.
Cartoon pia siku hizi maudhui ni yale yale mku.Mimi kwangu ni cartoon mwanzo mwisho,ambae hataki ahame.