Mnachokitafuta kwenye forex mtakipata endeleeni

Kitu chochote kinachokuahidi kupata hela bila ya kufanya kazi (kuuza bidhaa au kutoa huduma flani) ni uongo mtupu...hii nilijifunza kipindi flani nilivyonunuaga hisa za voda baada kupigiwa sana promo...hahaa...sitasahau ila nilifanikiwa kuziuza japo kwa hasara
 
Mkuu naomba niunganishe na hilo chimbo la 7000
machimbo yapo mengi mkuuu..ukichukua mzigo anzia PC 100 unapata hata hapo hapo unapochukuaga ongeza tu idadi fikisha PC 100 watakupa kwa bei hiyo
 
ndo ukome kuinvest kwenye vitu ambavyo huna knowledge navyo . sio kwa vile wewe ulishindwa ina maana matokeo yatabaki ya kufail kwa wengine noo ni wewe na mind yako hakuna cha rahis hapa duniani
 
Forex unanunua na kuuza fedha ni kama vile bureau ifanyavyo sasa hapo utapeli uko wapi? Mtu akishindwa soma soko akala hasara hiyo ni tatizo lake siyo utapeli
 
Unajuaje una income nzuri kuliko yeye?
 
Namegundua wewe ni mweupe kuhusu forex! Yani forex ufananishe na kubet?
 
Nakumbuka nikiwa shule kuna washkaji walikuwa hawasomi kabisa hesababu ukiwauliza sababu
wanakuambia ni ngumu wengine wanasema hawaelewi wengine wanasema hawana kichwa cha hesabu
mwisho wa siku walitakiwa wawe na 2 au 3 wanaishia kuwa na 4 tu

Wengine wanasema maisha magumu kijijini lakini wengine ndio wanaenda kijijini na wanatusua
wengine wanasema vyuma vimekaza wengine wanatafuta mademu wawahonge hela nyingi nyingi tu

Mwisho wasiku unajikuta haujafika mwisho wa safari maana unawacheka wale wanaogombaniana kupanda ndani ya gari
 
Umeongea point Sana KIONGOZI, Ile kitu lazima usome kweli kweli Kwa sababu unaenda kufanya kazi na high Intelligent people a.k.a Market Maker.

Huwezi. Pata. Pesa bila kunua Marke Marker Methods. Kiufupi Mimi napenda na nilichukua miezi Sita kusoma tu bila kufanya chochote, nilipoanza Mengi nilihosoma niliyakuta na nimeanza $30 tu na sijaichoma
 
ndo ukome kuinvest kwenye vitu ambavyo huna knowledge navyo . sio kwa vile wewe ulishindwa ina maana matokeo yatabaki ya kufail kwa wengine noo ni wewe na mind yako hakuna cha rahis hapa duniani
Kila la kheri huko
 
mfano mzuri sana nimeuelewa
 
Namegundua wewe ni mweupe kuhusu forex! Yani forex ufananishe na kubet?
sikatai upo sahihi..kwenye FOREX mimi ni mweupe kama maziwa au Theluji sijui A wala Z ki ufupi sna nijualo so sikupingi.
 
sikatai upo sahihi..kwenye FOREX mimi ni mweupe kama maziwa au Theluji sijui A wala Z ki ufupi sna nijualo so sikupingi.
Hapa mjini ,Utavishwa chupi na pesa za wanaume,kitu hukifanyi ,hujaombwa mtaji, shobo za nini. Bro sio kila mtu lazima auze vitumbua mchicha au matikiti. Kama hakuna sheria yoyote inayovunjwa kila mtu afanye anachoweza fainali uzeeni.

Mbona kuna kampuni nyingi za betting/gambling kila kona sijui biko tatu mzuka unajua nikiasi gani cha pesa kinapotea,?? Unajua risk iliyopo kwenye hiyo michezo mbona watu wanafanya na wanalipa kodi, Vip kuhuzu alliance global, kote huko utakuta watu wamejaa kikubwa nimahesabu ya jion ndio yatakwambia kama inalipa au hailipi. Mbona waziri mkuu alinunua hisa vodacome milion 20 soko limeenda vibaya utamlaumu wakati hujui hiyo pesa ametoa mfukoni mwake.

Kama unania ya kutoa msaada tafuta vijana wenye shida mtaani wape mtaji kisha wapangie kipi cha kufanya maana najua now unaingiza pesa nyingi kupitia tecno sio kutoa bla bla na hata hoja ulizoandika hazieleweki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…