Mnadeal vipi na hawa wenza wenye masharti kibao wakati wa tendo?

Braza Kede

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2012
Posts
3,840
Reaction score
6,844
Unakuta mtu ana masharti kama IMF hadi unakereka.

Ukiingiza yote anakwambia so hivyo. Toa nikuelekeze unatoa anakuambia haya weka hapo juujuu tu.

Ukienda kasi kidogo tu anakwambia aah so hivyo bwana.

Mwingine unamkuta mbonge la mshepu tacotaco unamwambia akae doggy style anakugomea kabisa unamsikia "we mwiko wako mrefu utaniumiza bana"

Half kutwa wanapiga picha za kuonesha mashepu yao mitandaoni ikija kwenye bed aaaahaa.

Inakata stimu sana. Unaweza kuchoka na kuamua kuvaa nguo zako utoke nduki mazima.
 
Huyo Hana mapenzi na ww yupo kimasirahi kwamtu anayempenda hawezi weka masharti hayo
 
Ccm itawale milele!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…