Joan lewis
JF-Expert Member
- Jan 3, 2019
- 993
- 1,463
Teena wakikaa vijiweni na wenzao wanajisifu kumbe anapewa masharti kuliko yale ya Torati, kisha anasifiwa una mtoto mzuri, Mboga 8 na yeye anakenua ila Siri ya mtungi aijua kata. Dakika Moja tuwaombee maana Wana teseka...............
Amin.
Amin.
Nimechekaaaaaa kama bwege, (sio mbunge mstaafu) bwege haswaaa. Kidume mkienda kutafuta majina huko kwenye ngazi za juu mfano masaki au mbweni sio tuu masharti na makofi ya Tako watapigwa. 🥹🥹🥹🥹