Mnadeal vipi na hawa wenza wenye masharti kibao wakati wa tendo?

 
huwa sipendi kuingilia mada za hivi, ila kwa sababu nimeiona, nitachangia kwa faida ya wale waliopo kwenye ndoa. kiufupi, ukikuta mke wako yupo hivi, jua wewe haujui kabisa mapenzi na unatuangusha wanaume, na pia elewa kwamba waliopita kabla yako walikuwa bora sana na anakuelekeza pengine ufikie viwango hivyo. kama hadi leo haujui namna ya kutumia pale nje vizuri, unaweka tu ndani bila kutafuta angle ambayo yeye pia inamsugua,unaenda speed tuu kama unalima bila kufuata mirindimo na kuangalia yeye anajisikiaje na ufanye nini, basi wewe unatakiwa upelekwe kwenye kichenipati ya wanaume ufundwe na ufundishwe mengi sana.

all inall, kwenye vitanda vyetu sisi wanaume huwa kwanza tunatakiwa kutafuta kumridhisha mwanamke, akiwahi yeye ni bora sana, jkwa sababu kama yeye ameridhika sisi ni rahisi tu kuenjuculate ndio maana mtihani mkubwa hasa tunapokuwa na hisia kubwa huwa ni kuhold up ili mmalize pamoja au yeye awahi; na hiyo inatokana na foreplay nzuri, uhusiano wenu mzuri manake magomvi huondoa hisia, maandalizi hata kisaikolojia, upendo n.k kabla ya tendo and always. pia, msikilize mwanamke anataka nini, vishike hivyo, vitende vyema na kama hauna akili namna hiyo basi kariri hata kukariri tu ni vitu gani uwa vinamfurahisha na kwa namna gani. kama imefikia kipindi hadi mwanamke anakuelekeza na hauelewi, unatatizo kubwa sana na unatakiwa ujisikie aibu.
 
Hii ni asili ya mtu anaekupemda kimasilahi. Yaani umpe kitu afu yeye anakuja kwako ili alonekane amekija.

Wengi huogopa kutanuliwa nanihili zao, wanatunza kwa ajili ya watu wanao wapenda, wako tayari wakuchue Ili umwage nje. Walishajua udhaifu wako, lets say kumwaga dakika 2 basi watadanya juu chini ukiingiza tu umwage Ili wabaki kama Bikila.

Nini cha kufanya.
1. Usimpe kitu hadi akupe. Au unampa mkiwa chumbani, hii ni biashara. Ajue kabisa akicheza anakosa.
2. Acha zinaa.
 
Ivi na changamoto zote tangu tabia nchi, maisha, siasa nk bado Kuna watu wanahamu! Ni kama mmenizindua nilikuwa sijajua. Then nitaulizia maana nimejua nije kukupa mrejesho. 🧘
 
Umeongea point kubwa sana
 
Hawakupendi
 
Movie inaanza, mnaacha wanaowapenda mnaenda kwa mnaowapenda ambapo hawawapendi Bali wanakubali out of Kukuonea Imani isije kukonda sababu yake. Maana wengine hawatongozi wanalazimisha kwa njia zote mpk mtongozwaji anapatwa Imani.🙌
 
Piga chini apeleke mashart nyumbani kwao
 
Short and clear. Kila mtu Duniani hata kijeba ana saizi , type, yake/ coloni lake.
Naam.

Mimi hapa niko na kijeba changu kila dakika tano kinajishaua "Hivi kweli unanipenda?"

Nikisema nakupenda, hakikubali, kinarudia "hivi kweli?".

Yani hata ukikiambia bweka kama mbwa kinabweka masikini.

Halafu unashangaa jitu dume linapangiwa masharti kama liko chini ya serikali ya ukoloni.

No strength of character.

No game at all, not even Playstation.

Hata huyo mwanamke mwenyewe anakudharau.
 
Nimechekaaaaaa kama bwege, (sio mbunge mstaafu) bwege haswaaa. Kidume mkienda kutafuta majina huko kwenye ngazi za juu mfano masaki au mbweni sio tuu masharti na makofi ya Tako watapigwa. 🥹🥹🥹🥹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…