Mnadeal vipi na hawa wenza wenye masharti kibao wakati wa tendo?

Hii Sawa kabisaa
Chadema itashika nchi kweli!
Hapana mkuu
 
Mi kama dereva ukinpa funguo za gari acha nifanye kazi yangu mi ndo ntajua wapi niweke gia,wapi nikanyage breki,wapi niende speed wap nipunguze

Mi ukinipangia masharti naenda vice versa
 
Mi sipendi kuwekewa masharti kikubwa nimfikishe kilimanjaro na avunje madafu ya kutosha
Over
 
Mi kama dereva ukinpa funguo za gari acha nifanye kazi yangu mi ndo ntajua wapi niweke gia,wapi nikanyage breki,wapi niende speed wap nipunguze

Mi ukinipangia masharti naenda vice versa
🀝🀝🀝
 
ni sahihi kabisa
naunga mkono hoja
usizuiwe tena ikibidi uende unakotaka kwa spidi unayotaka wew dereva
kwa raha zako [kwa sauti ya mheshimiwa kingwendu]🀣🀣🀣
 
Anayekupenda atavumilia yote kikubwa aone umefurahia huduma yake.

dah! ubarikiwe ex wangu neema mtoto anajua yule hata kama utaki utaila tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…