Mnafurahi kupewa mwaliko kuonana na Rais wa JMT; je, mtanufaika vipi kisiasa?

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
6,404
Reaction score
6,969
Itokee mmetinga ikulu Magogoni au Chamwino Idodomya hivi wapinzani wa serikali ya CCM mtapata manufaa gani ya kisiasa?

Kwamba sababu rais wa JMT amekubali kukutana na vyama vya upinzani ndio itakuwa sababu ya kuwapa boost kisiasa?

Wananchi watawakubali Chadema kama ilivyokuwa nyakati za Dk slaa? Nani atakuwa na imani na mtu kama Zitto?

Jambo la msingi ambalo mnatakiwa kujitathimini, je wananchi bado wanawakubali? Mbona kwa siku za karibuni mkitoa matamko mbona wanawapuuza? Mkipata jibu ndio muende ikulu kubugia sambusa na juice za Ceres.
 
Kwani Dr. Slaa alipokuwa Chadema mliwahi kukubali kuwa Chadema inakubalika?

Mama Samia kukubali kuonana na Chadema kwenu imekuwa nongwa tena?

Watu wa namna gani nyie? Ndiyo maana hampendi ripoti za CAG kusomwa hadharani.

Nyambafu!
 
Wakati wa Dr slaa kila mtu alijua Chadema inatisha na kuaminika ni chama cha ukombozi.

Ripoti ya CAG husomwa Bungeni kwa mujibu wa katiba ya JMT.
 
We jamaa unahangaika sana.

Sikia we ndugu, kwa vyovyote vile jifunze kukumbatia amani na utengamano wa Taifa na si chuki. Kama wakinywa Juice au wasipokunywa kikubwa Mh Rais kaonesha kupenda mshikamano wa Taifa, hilo ndio kubwa dogo wewe. Kwani mtu akija kwako kukutembelea ukampa Juice akanywa mkaongea mkabadilishana mawazo mkajenga undugu wenu au urafiki unataka umpe na nini tena ili ajione kapata kitu?

Hebu tawaliwa na amani dogo wewe, acha kila saa kuwaza chadema, ccm. Kuna mengi ya kuwaza au kuongea kama mTanzania bila kujali uccm wako au uchadema
 
Usiingilie uhuru wangu wa kikatiba kuwaza chochote shutup. Nini manufaa ya kula sambusa na juice za ikulu huku hamkubaliki?
 
MKUU, kweli uhoni manufaa ya vyama kukutana na Rais hasa KATIKA kipindi hichi ambapo taifa limeparanganyika? Binafsi nahamini unajua Basi tu unafanya makusudi tu kwa ulichokiandika .
 
Usiingilie uhuru wangu wa kikatiba kuwaza chochote shutup. Nini manufaa ya kula sambusa na juice za ikulu huku hamkubaliki?
Siwezi kujibizana na wewe uliyejaa chuki 24/7

Na Hii iwe msg yako ya mwisho kuiniandikia ujinga wa shut up.
 
MKUU ,kweli uhoni manufaa ya vyama kukutana na Rais hasa KATIKA kipindi hichi ambapo taifa limeparanganyika? Binafsi nahamini unajua Basi tu unafanya makusudi tu kwa ulichokiandika
Taifa halijaparanyika, wapinzani hawana jipya kwa wananchi.
 
Siwezi kujibizana na wewe uliyejaa chuki 24/7

Na Hii iwe msg yako ya mwisho kuiniandikia ujinga wa shut up.
Nakuambia hivi huna mamlaka ya kuingilia uhuru wangu juu ya suala lolote kaa kimya.
 
Itokee mmetinga ikulu Magogoni au Chamwino Idodomya hivi wapinzani wa serikali ya Ccm mtapata manufaa gani ya kisiasa?

Kwamba sababu rais wa JMT amekubali kukutana na vyama vya upinzani ndio itakuwa sababu ya kuwapa boost kisiasa?

Wananchi watawakubali Chadema kama ilivyokuwa nyakati za Dk slaa? Nani atakuwa na imani na mtu kama Zitto ?

Jambo la msingi ambalo mnatakiwa kujitathimini, je wananchi bado wanawakubali? Mbona kwa siku za karibuni mkitoa matamko mbona wanawapuuza? Mkipata jibu ndio muende ikulu kubugia sambusa na juice za ceres.
Wewe lazima ujitundike kwa kamba siku utakapoona Kamanda Mbowe akiteta na mama mambo muhimu ya nchi. Chato ni washamba hasa tule kinara wao
 
Kisa tu atakunywa juice na sambusa?
 
Itokee mmetinga ikulu Magogoni au Chamwino Idodomya hivi wapinzani wa serikali ya Ccm mtapata manufaa gani ya kisiasa?

Kwamba sababu rais wa JMT amekubali kukutana na vyama vya upinzani ndio itakuwa sababu ya kuwapa boost kisiasa?

Wananchi watawakubali Chadema kama ilivyokuwa nyakati za Dk slaa? Nani atakuwa na imani na mtu kama Zitto ?

Jambo la msingi ambalo mnatakiwa kujitathimini, je wananchi bado wanawakubali? Mbona kwa siku za karibuni mkitoa matamko mbona wanawapuuza? Mkipata jibu ndio muende ikulu kubugia sambusa na juice za ceres.
Wanahamu ya kutembelea Ikulu ,hasa ile ya chamwino Dodoma ,wame miss sana kahawa ya jumba kuu
 
Itokee mmetinga ikulu Magogoni au Chamwino Idodomya hivi wapinzani wa serikali ya Ccm mtapata manufaa gani ya kisiasa?

Kwamba sababu rais wa JMT amekubali kukutana na vyama vya upinzani ndio itakuwa sababu ya kuwapa boost kisiasa?

Wananchi watawakubali Chadema kama ilivyokuwa nyakati za Dk slaa? Nani atakuwa na imani na mtu kama Zitto ?

Jambo la msingi ambalo mnatakiwa kujitathimini, je wananchi bado wanawakubali? Mbona kwa siku za karibuni mkitoa matamko mbona wanawapuuza? Mkipata jibu ndio muende ikulu kubugia sambusa na juice za ceres.
Huyu mama amelelewa na wazazi mkuu,hana mawazo kama ya yule mchunga ng,ombe.

Na ana hofu ya Allah wake,mwenda zake kilichompotezea legacy yake ni kutoiheshimu katiba na kupandikiza mbegu ya chuki na ubaguzi alichopanda ndo anakivuna SAA hii.
 
Back
Top Bottom