Mnaijeria anataka kumpora rafiki yangu girlfriend wake, Mbinu zipi zitumike kumshinda mgeni huyu uwanja wa nyumbani?

Huyo mama/binti watamufanya punda kama hivi, atabebeshwa begi la sembe bila kujuae.
 

Attachments

  • VID-20220423-WA0147.mp4
    11.3 MB
Wala hawana uchawi wowote acha kumsagia kunguni.

Kuna tofauti ya mwanaume na mvulana.

Huyu mtoa mada na mwenzie ni tuvulana. Acha wapate darsa kutoka kwa mnaijeria.

wao acha wafocus kwenye pamba, unyunyu na kuongea.🤣🤣🤣
Kampata mbabu wa kinaijaa hata sio uchawi
 
Dogo pesa hana, dem wake kashachanganyikiwa na ela za dili za wanigeria
 
Mrejesho mkuu wameendeleaje huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…