Mnaijeria anataka kumpora rafiki yangu girlfriend wake, Mbinu zipi zitumike kumshinda mgeni huyu uwanja wa nyumbani?

Kuna mdgo wang alwah nifata analalamika Dem wake anaanza kmzngua kwaio kaskia kwa wenzake Kuna mganga anavuta mpenz bei yake elfu15 nkmuangaliaaaa nkmwambia n kweli afu iyo bku15 nipe ifate mchna uende itkua na Baraka ikipita kwangu " kweli broo" kafurah kweli.

Den mchna nkafata kuku nusu nkpika na ugali safiiii na iyo pesa nkmuita nkmwambia kula mdgo wang maana hii hela mganga ndo angeila huo ujinga sku nyngne usje nifata unnielza mwanmke akzngua tafta mwngne basss skuiz naona kakomaaa sanaaa.
Hii comment ifanyiwe lamination
Iwekwe kwenye nembo ya JF
 
Nikikupa ushauri utagoma

Dogo huyo atafute demu mkali level za huyu demu wake halafu akili yote afocus kwa demu mpya huyo mwingine awe ana deal nae ki aste aste tu.Amini kwamba hiyo ndo solution ya tatizo lake nyingine zote ni upuuzi mtupu

Una hela hlf kuna takataka unataka kuipigania!!!tena taka taka isiyojielewa!!serious!!!!Huyo dogo ndo loser kweli kweli HAMNA MAHALI duniani mwanaume ambaye yupo financially stable,ana jiamini analilia mapenzi kama zezeta.

Mwanamke aki misbehave pale pale anakuwa replaced bila hata kuwazA mara mbili

Morinho alikuwa na sera yake kwenye team anayoingoza hamna star zaidi yake ukileta ujinga unatimuliwa.

Demu ana matako na sura yana faida gani kama akili hana???amesoma!toka lini elimu ya mwanamke ikawa na msaada kwenye mahusiano???kwao wa kishua!!ina nisaidia nini mimi?kwani nimekuwaombaomba

Yaani pale pale mwanamke anapoanza kuonyesha kutokujilewa huo ndo mda sahihi wa kumuonyesha she is not the one na maisha yako NI MAZURI YEYE AKIWEPO na HATA ASIPOKUWEPO,You are totally fine and happy with ur life.
 
Inaonekana unamkubali dogo kuliko hata huyo manzi wake anavyomkubali. Maana si kwa sifa hizo ulizompamba nazo.
 
Kuna kitu nilitaka kumshauri huyo dogo lako ila baada ya kusoma mada yote nikagundua dogo lako ni bwege.

Kazi simple inakutoaje jasho?
 
Kuna dogo ana miaka 28 bado hajaoa ila ana girlfriend wake ambae wamejuana takribani miezi minne hivi bila tatizo, kaja kwangu kaka yake aje nimpe ushauri hasa ukizingatia binafsi nimeshaoa na nina familia tayari, pia kwenye mambo ya mapenzi nina uzoefu si haba.

Huyo girlfend wake ni mrembo wa sura na shape kote, kaelimika (sio msomi wa vyeti), kwao pesa zipo maana mzee ni mzito wa kitengo flani, anajitamua, n.k. (Kiufupi hata mimi huwa nampa moyo dogo kwamba hapo alipopata asiachie)

Sasa kuna mnaijeria hapa anataka kuingiza mchanga kwenye kitumbua maana kaanza kuiteka akili ya girlfriend wa huyu dogo,

Dogo kama ni pesa anazo maana alipata bahati adimu mno kuajiriwa shirika ambalo ni ndoto ya wengi kipindi cha magu, ila pia anafanya biashara inayomlipa, ana ndinga kali, kama ni kuhonga tu hata 50 kwa siku huo uwezo anao ila gf wake ni kama huwa anamaindi, huwa anapendaga out hizi za weekend na vizawadi vidogo vidogo.

Kuhusu ishu nyingine kama kuvaa dogo anagonga pamba maana pesa anazo si haba, kama ni gari ya kupigia misele na dem wake anayo ndinga kali tu, kuhusu swaga dogo hajazubaa, kama ni kumjali huyo gf wake anamjali sana tu na gf wake analijua hilo.

Dogo alipiga maswali gf wake kumuuliza ni vipi na huyo mnaijeria, gf wake kakazania ni marafiki tu lakini kwa akili zetu wanaume hii ni hali ya atari (danger zone), muda wowote koloni linaporwa.

Ni mbinu zipi za kivita zitumike kulitetea taji hapa nyumbani?
Nenda kituo ccte cha polisi awaambie kuna mtu haeleweki ishu zake na ni mgeni, atakuja kutushukuru hapa
 
Nipe 500k nimuuzie demu wangu mkali !
 
Mostly ukiwa na hela unakuwa huna bahati na mademu wazuri,
atafute mmoja anayejielewa amuweke ndani, then aendelee na anasa za madem wakali mdogo mdogo.
akitaka kuweka ndani demu mkali atapata shida saaana
 
Wachuchu walivyo wengi hivi bado kuna watu wanahangaika kutaka kuimpress...
 
Kuna dogo ana miaka 28 bado hajaoa ila ana girlfriend wake ambae wamejuana takribani miezi minne hivi bila tatizo, kaja kwangu kaka yake aje nimpe ushauri hasa ukizingatia binafsi nimeshaoa na nina familia tayari, pia kwenye mambo ya mapenzi nina uzoefu si haba.

Huyo girlfend wake ni mrembo wa sura na shape kote, kaelimika (sio msomi wa vyeti), kwao pesa zipo maana mzee ni mzito wa kitengo flani, anajitamua, n.k. (Kiufupi hata mimi huwa nampa moyo dogo kwamba hapo alipopata asiachie)

Sasa kuna mnaijeria hapa anataka kuingiza mchanga kwenye kitumbua maana kaanza kuiteka akili ya girlfriend wa huyu dogo,

Dogo kama ni pesa anazo maana alipata bahati adimu mno kuajiriwa shirika ambalo ni ndoto ya wengi kipindi cha magu, ila pia anafanya biashara inayomlipa, ana ndinga kali, kama ni kuhonga tu hata 50 kwa siku huo uwezo anao ila gf wake ni kama huwa anamaindi, huwa anapendaga out hizi za weekend na vizawadi vidogo vidogo.

Kuhusu ishu nyingine kama kuvaa dogo anagonga pamba maana pesa anazo si haba, kama ni gari ya kupigia misele na dem wake anayo ndinga kali tu, kuhusu swaga dogo hajazubaa, kama ni kumjali huyo gf wake anamjali sana tu na gf wake analijua hilo.

Dogo alipiga maswali gf wake kumuuliza ni vipi na huyo mnaijeria, gf wake kakazania ni marafiki tu lakini kwa akili zetu wanaume hii ni hali ya atari (danger zone), muda wowote koloni linaporwa.

Ni mbinu zipi za kivita zitumike kulitetea taji hapa nyumbani?
Nigerians: wanawatumia dada zetu kuvusha unga toka sehemu moja kwenda nyingine, huyo mnigeria atamwonyesha mapenzi Moto Moto kwa lengo la kumwingiza kingi huyo binti, huwa hawana mapenzi ya kweli atamwonga chochote anachotaka huyo binti lakini siku zake anaziweka rehani. Wengi nimeshashuhudia dada wengi wanafungwa nchi mbali mbali. Kuna mtanzania mmoja India aliingizwa chaka na mnigeria wao Wana passport hata nne majina tofauti atakwambia jina hili na kukuonyesha passport yake, lakini siku ya kukuingiza chaka anabeba passport nyingine jina tofauti. Mnigeria kamununulia binti wa watu zawadi kibao na pesa ndefu, wakapanga Safari kwenda Thailand , tokea India mnigeria kamununulia high hill shoes huyo binti kwamba atavaa hivyo viatu, mnigeria kashindilia unga kwenye soli ya viatu kama nusu kilo akwambia binti avae siku hiyo , binti hajui hili wala lile kavaa kufika airport ya Thailand binti kaahitukiwa wakavua viatu kupeleka kwenye scanner wakaona unga. Binti kajitetea kwamba kanunuliwa viatu na boyfriend wake , wakamwita huyo boyfriend mnigeria. Kufika hapo mnigeria kakataa kwamba hamujui huyo binti. Mnigeria kawambia wamuulize Kama anajua jina langu kataja alilozoea na kuona kwenye passport, mnigeria katoa passport yake nyingine jina tofauti kabisa. Na hile passport nyingine aliacha uko India kwa jamaa zake wengine. Hivyo huyo binti awe makini sana.

2. Amwache huyo binti atafute mwingine

3. American/ Nigerian piga risasi huyo jamaa

4. Mupe onyo huyo mnigeria na vitisho vingi ukimwambia kwamba tutakukamata na dawa za kulevya.
 
In this scenario,,acha kila mtu ashinde mechi zake tu bt sasa Hapa demu ndio atakuwa muamuzi wa yote
 
“ anatupia pamba na unyunyu safi,kama kuongea dogo yupo vizuri “

Mwambie aendelee kuyafanya hayo wanawake wengine watavutiwa nae huyo wa kishua amuache na mnigeria wake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mambo yao waachie wenyewe, alafu weka picha ya mwanamke upewe muongozo...
 
Back
Top Bottom