Mnaishi vipi na Mwanamke anayekupangia siku za kupiga shoo?

Mnaishi vipi na Mwanamke anayekupangia siku za kupiga shoo?

kwa uandishi huu, utakuwa umeoa ndio maana unakaa naye. ndio maana nachangia, la sivyo nisingechangia uzi wa aina hii.

ukiona mkeo unamwomba tu shoo muda wote wewe tu, jua huwa humdhirishi, humfikishi kileleni. mwanamke yeyote anayefikishwa kileleni huwa anatamani aipate tena raha hiyo muda wowote akiwa na nafasi. ndio maana utakuta anakuhamasisha kula, anakupakulia chakula kingi, juisi anakuandalia nyingi, anataka unywe maji ya kutosha, anakujali, na akilala anakususia bugungutu lake kwenye mapaja likiwa halina nguo. inasemekana wanawake wengi huwa wanaona bora wasifanye kabis akuliko kufanya wasifike kileleni, wanasema mnawachafua tu na kuwaacha katikati na wanateseka.

sisi wenzio, wake zetu hawalalagi kabisa na nguo za ndani kwa miaka mingi sana labda kama yupo bleed. ila kawaida, wakati mwingine sisi tu ndio tunachoka, utatukuta hata tunapoendesha gari tupo na karanga mbichi pembeni mara majuice ya ajabu mara chakula tunakula sana why? kwasababu tunajua karibia kila siku lazima kesho mashuka yakafuliwe upya. pambana, usimchukie, ila jua udhaifu wako uurekebishe, ukimwacha ataenda kwa mwingine atakayekuwa anamnpa everyday.

kwa umri wangu imefika napiga mara 4 kwa wiki, na akili zetu zinakuwa fresh muda wote kwasababu tunalifurahia.
Ama kwa hakika Yesu anakuja...
 
Hivi niulize wanadoa kwa nini hamgegedani wakati wife yuko period...sii ndio wanasemaga genye kwao ipo juu
joto huwa linakuwa wakikaribia hiyo period, lakin Kumbuka kipindi hicho wanapitia maumivu ya mgongo, kiuno na tumbo, wengine wanakuwa na maumivu makali mno, hata kama una roho ngumu kama Hitler hapo hupigi maana raha ya tendo ushirikiano uwepo
 
kwa uandishi huu, utakuwa umeoa ndio maana unakaa naye. ndio maana nachangia, la sivyo nisingechangia uzi wa aina hii.

ukiona mkeo unamwomba tu shoo muda wote wewe tu, jua huwa humdhirishi, humfikishi kileleni. mwanamke yeyote anayefikishwa kileleni huwa anatamani aipate tena raha hiyo muda wowote akiwa na nafasi. ndio maana utakuta anakuhamasisha kula, anakupakulia chakula kingi, juisi anakuandalia nyingi, anataka unywe maji ya kutosha, anakujali, na akilala anakususia bugungutu lake kwenye mapaja likiwa halina nguo. inasemekana wanawake wengi huwa wanaona bora wasifanye kabis akuliko kufanya wasifike kileleni, wanasema mnawachafua tu na kuwaacha katikati na wanateseka.

sisi wenzio, wake zetu hawalalagi kabisa na nguo za ndani kwa miaka mingi sana labda kama yupo bleed. ila kawaida, wakati mwingine sisi tu ndio tunachoka, utatukuta hata tunapoendesha gari tupo na karanga mbichi pembeni mara majuice ya ajabu mara chakula tunakula sana why? kwasababu tunajua karibia kila siku lazima kesho mashuka yakafuliwe upya. pambana, usimchukie, ila jua udhaifu wako uurekebishe, ukimwacha ataenda kwa mwingine atakayekuwa anamnpa everyday.

kwa umri wangu imefika napiga mara 4 kwa wiki, na akili zetu zinakuwa fresh muda wote kwasababu tunalifurahia.
Mimi huwa nasema kwenye mambo haya hakuna formula au maelezo ya aina moja ambayo yatafanya kazi kwa namna ileile - iwe kwa wanaume au kwa wanawake. Kuna watu wanawafikisha wake zao kileleni, lakini bado kuna wanaochepuka na hata wakati mwingine hawataki kufanya mapenzi na waume zao. Kuna sababu nyingi - mchanganyiko - zinazofanya wanandoa wawe na hali kama hiyo, mabadiliko ya mood yakiwa moja ya sababu. Kuna watu asubuhi anakuwa na mood tofauti, mchana imeshabafilika, na jioni pia. Hii fluctuation (inayosababishwa pia na hormonal imbalance), ambayo hata kwa mhusika anaona ni kero na hajui namna ya kui' control', ni moja ya sababu ya mtu kukosa hamu na tendo la ndoa - yaani kwamba feelings zake hazipo hapo na hata yeye mwenyewe hajui sababu yake ni nini. Naye angetaka awe tofauti, lakini anajikuta katika hali kama hiyo.
 
Wanaume wengi siku hizi mna shoo mbovu mpaka mnatia uvivu.
Alafu mapenzi sio kuchomeka tu,yawezekana anakuona kama kinyago vile,
 
Bado hujawajua Wanawake japo unadai kua una umri mkubwa ila sisi wakubwa ndio tunawajua vizuri zaidi,mwanamke mjeuri asiyemuheshimu mumewe hua haihitaji sababu ili aonyeshe makucha yake,kama hafikishwi kwanini wasijadili na Mumewe?
Kuna binadamu wabishi,mtu ana changamoto hataki hata muongee ye anadai yuko sawa wakati wewe unaona kuna tatizo.
 
Huyu manzi tu wa nnje kaka sijaoa. Ila ni vitimbi sio poa
kama hujaoa, acha uzinzi, ama la kuna siku utarudi hapa kuomba ushauri mwingine. Mungu anakuona.
Ndio nyie ambao hua mnawaza kua ndoa ni kutiana tu,mawazo ya kijinga sana haya,
Narudia tena kukwambia kua,bado hujawajua Wanawake.
kwani tunalala na wake zako, si wa kwetu shehee, mbona wivu.
 
kwani tunalala na wake zako, si wa kwetu shehee, mbona wivu.
Umeandika ujinga,tena ni nje ya point yangu,au ndio umekurupuka kutoka usingizini?
Niliyemquote ataelewa point yangu coz nilikua najibu hoja yake,wewe pita kule.
 
Huyu manzi tu wa nnje kaka sijaoa. Ila ni vitimbi sio poa
kama hujaoa, acha uzinzi, ama la kuna siku utarudi hapa kuomba ushauri mwingine. Mungu anakuona.
Mimi huwa nasema kwenye mambo haya hakuna formula au maelezo ya aina moja ambayo yatafanya kazi kwa namna ileile - iwe kwa wanaume au kwa wanawake. Kuna watu wanawafikisha wake zao kileleni, lakini bado wanaochepuka na hata wakati mwingine hawataki kufanya mapenzi na waume zao. Kuna sababu nyingi - mchanganyiko - zinazofanya wanandoa wawe na hali kama hiyo, mabadiliko ya mood yakiwa moja ya sababu. Kuna watu asubuhi anakuwa na mood tofauti, mchana imeshabafilika, na jioni pia. Hii fluctuation, ambayo hata kwa mhusika anaona ni kero na hajui namna ya kui' control' ni moja ya sababu ya mtu kukosa hamu na tendo la ndoa - yaani kwamba mawazo yake hayapo hapo na hata yeye mwenyewe hajui sababu yake ni nini.
kama hakupi na unamfikisha, jua kuna kitu kinamsumbua moyoni, kinamwondolea hisia. aidha madeni, maumivu fulani linamsumbua. tatua tatizo hilo, ila kama hakuna shida, jua shida ni wewe binafsi.
 
Kwa uandishi huu, utakuwa umeoa ndio maana unakaa naye. ndio maana nachangia, la sivyo nisingechangia uzi wa aina hii.

Ukiona mkeo unamwomba tu shoo muda wote wewe tu, jua huwa humdhirishi, humfikishi kileleni. mwanamke yeyote anayefikishwa kileleni huwa anatamani aipate tena raha hiyo muda wowote akiwa na nafasi. ndio maana utakuta anakuhamasisha kula, anakupakulia chakula kingi, juisi anakuandalia nyingi, anataka unywe maji ya kutosha, anakujali, na akilala anakususia bugungutu lake kwenye mapaja likiwa halina nguo. inasemekana wanawake wengi huwa wanaona bora wasifanye kabis akuliko kufanya wasifike kileleni, wanasema mnawachafua tu na kuwaacha katikati na wanateseka.

Sisi wenzio, wake zetu hawalalagi kabisa na nguo za ndani kwa miaka mingi sana labda kama yupo bleed. ila kawaida, wakati mwingine sisi tu ndio tunachoka, utatukuta hata tunapoendesha gari tupo na karanga mbichi pembeni mara majuice ya ajabu mara chakula tunakula sana why? kwasababu tunajua karibia kila siku lazima kesho mashuka yakafuliwe upya. pambana, usimchukie, ila jua udhaifu wako uurekebishe, ukimwacha ataenda kwa mwingine atakayekuwa anamnpa everyday.

Kwa umri wangu imefika napiga mara 4 kwa wiki, na akili zetu zinakuwa fresh muda wote kwasababu tunalifurahia.
Yesu Anakuja
 
kama hujaoa, acha uzinzi, ama la kuna siku utarudi hapa kuomba ushauri mwingine. Mungu anakuona.

kama hakupi na unamfikisha, jua kuna kitu kinamsumbua moyoni, kinamwondolea hisia. aidha madeni, maumivu fulani linamsumbua. tatua tatizo hilo, ila kama hakuna shida, jua shida ni wewe binafsi.
Ndiyo maana nasema hakuna jibu moja kwa wote maana unakuta huyu anahangaika na mambo yake moyoni au pengine ana hormonal imbalance na mwingine vile. Ila sasa sisi tunawaweka wanawake wote "kapu moja" na kwa sababu moja - "kama anasema amechoka au alitoa sababu ABC ujue humtoshelezi" - jambo ambalo si siku zote hivyo.
 
Kwa zaidi ya miezi 5 nimepewa shoo mara tano wastani wa kila mwezi mara moja na hata shoo nikipewa inakuwa chini ya kiwango tofauti na muda tulikaa bila kufanya... najionea mauza uza..

Sasa basi na mimi nimepanga akinitaka yeye kama kawaida yake nimkazie mchezo tuone itakuwaje sijui nitajenga ama kubomoa.

Ushauri wenu wananzengo yamenishinda. Nawaza kutafuta mchepuko wa kujipozea nyepe nyepe
Mm hili jambo la kupangiwa siku nishakutana nalo enzi za nyuma,, yaan unapangwa kesho ikifika kesho unapangwa kesho tena,halafu kila siku analala na chupi, in short kwa wiki nilikuwa napewa mara moja tu tena kimoja, nilikuja kugundua alikuwa na hormonal imbalance yaan kwake yeye hisia anazisikiaga kwa jirani tu hata umchezee usiku kucha, nimenyonya muno **** yake lakn wapi

Kama mmeoana jaribu kumvumilia, au mdadisi akwambie tatizo ni nn, kama mnatumiaga uzazi wa mpango napo inachangiaga kukosa hisia
 
Tunaanza kutoka kwenye maada ya mwanamke ni chombo cha starehe, sasa mwanaume anataka kua chombo cha starehe
 
kama hujaoa, acha uzinzi, ama la kuna siku utarudi hapa kuomba ushauri mwingine. Mungu anakuona.

kama hakupi na unamfikisha, jua kuna kitu kinamsumbua moyoni, kinamwondolea hisia. aidha madeni, maumivu fulani linamsumbua. tatua tatizo hilo, ila kama hakuna shida, jua shida ni wewe binafsi.
Mkuu umenena point.. asante 🫡
 
Mm hili jambo la kupangiwa siku nishakutana nalo enzi za nyuma,, yaan unapangwa kesho ikifika kesho unapangwa kesho tena,halafu kila siku analala na chupi, in short kwa wiki nilikuwa napewa mara moja tu tena kimoja, nilikuja kugundua alikuwa na hormonal imbalance yaan kwake yeye hisia anazisikiaga kwa jirani tu hata umchezee usiku kucha, nimenyonya muno **** yake lakn wapi

Kama mmeoana jaribu kumvumilia, au mdadisi akwambie tatizo ni nn, kama mnatumiaga uzazi wa mpango napo inachangiaga kukosa hisia
Asnate mkuu yote nitayafanyia kazi
 
Back
Top Bottom